T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Bashiru huyu aliyerudisha mali za CCM zilizowashinda vigogo wa chama asingekubali kutoa bure rasilimali za nchi. Wala Bashiru sio kilaza, hata kama humpendi utakubaliana na hilo.Kwa uhaini huo huyo Bashiru hakutakiwa kuwa hai, achili huo Ubunge. Alikuwa na malengo gani na yenye maslahi ya kina nani?
Kijana hauelewi kinachojadiliwa hapa.Yes ilikuwaje akamwita CDF dakika za mwisho badala ya makamo
Kwahiyo ulitaka serikali isimame kuendelea na majukumu yake wakakae kumuuguza mgonjwa?Hahahah
Katika tafakuri nawaza labda mtoa hoja angeweka maswali yenye kuibua fikra tunduizi kwenye kufahamu kwa nini CDF, IGP na DGIS walikuwa ndiyo wamekizunguka kitanda alicholazwa Rais badala ya watu walioainishwa kwenye Katiba kuwa ndiyo waratibu wa kila hatua?
Je, nchi inaendeshwa kwa mujibu wa mwongozo wa Kijeshi? Maana tunaunga nukta kuhusu ushiriki wa Mfumo na Polisi kwenye mchakato wa uchaguzi na kupiga kura.....
Ambatanisha hoja yako kwa kutumia sheria ama Ibara ya Katiba.Kwahiyo ulitaka serikali isimame kuendelea na majukumu yake wakakae kumuuguza mgonjwa?
Mbona hata Lowasa alivyokuwa mahututi raisi aliagiza jeshi likawe karibu na mgonjwa mpaka msiba ulipomkuta. Huo ndio utaratibu wa kiuongozi kijana.
Wewe njoo uibalansi mkuu.Hii stori haijabalance
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata
Kweli kabisa mkuu. Jamaa sio kawaida yake kukaa kimya kiasi hiki.Bashiru Hakuchukua muda mrefu. Aliondolewa week moja au mbili baada ya mazishi.
Kwa jinsi alivyo Msemaji kabla na baada ya uteuzi... Kimya chake baada ya kutemwa kinafikirisha.
Wabalance waliokuwepoWewe njoo uibalansi mkuu.
..swali langu ni kwanini Mabeyo hakuwa akimpa taarifa Makamu wa Raisi / Kaimu Raisi.
..kwanini aliwataarifu Waziri Mkuu na Katibu Mkuu kiongozi kabla ya Makamu wa Rais ambaye kwa hali ya kiafya ya Rais alikuwa / alipaswa kuwa KAIMU RAISI?
..Suala la maradhi na kuugua kwa Raisi Magufuli ilikuwa ni jambo linalotakiwa kusimamiwa na Makamu wake.
hii inajulikana sana siku nyingi, just tu sio safe kusemaOh kumbe former kitengo na yeye muhusika. Mkuu inaonekana una inform za kutosha kuhusu genge hili.
Ile kiini macho tu ili kubalance ishu za dini na jinsia ,ila magu hakumkubali huyo mama ndo maana mambo mengi alipiga mwenyewe.Kwanini usimuamini mtu uliemteuwa mwenyewe kuwa mgombea mwenza wako?
Hauna hoja.
Watu wanamlaumu Mabeyo bure tu!Kwanza jiulize kwani Ni kazi ya CDF kutoa taarifa kwa viongozi wa kisiasa juu ya kuumwa kwa rais?.
Hapo mlaumu Makamu yeye mwenyewe kwa kushindwa kujisimamia na kuwa incharge.
Kama makamu alikuwa akikaimu madaraka ya rais kwa nini ashindwe kuwaita wahusika wote wampe taarifa juu ya hali ya mkuu wa nchi?
Sioni kosa kwa Mabeyo zaidi ya busara nyingi na uzalendo mkubwa uliotuvusha salama.
We nawe kiazi sana,ina maana hujaelewa kwa nini Mobeyo kasema vile? dumb ass!!..Mabeyo anastahili lawama.
..Kwanini MAKAMU WA RAIS hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa kuwa Rais amefariki?
..Nimemsikia Mabeyo akisema eti kulikuwa na mjadala wa nani atangaze kifo cha Rais.
..Hivi Mabeyo na usomi wake, kutumikia jeshini kwa miongo kadhaa, na kutembelea nchi mbalimbali, hajui nani ana mamlaka ya kutangaza kifo cha Raisi? Kwamba walihitaji majadiliano?
Na ukizingatia ilikuwa kwa mara ya kwanza Taifa linapata msiba wa Kiongozi mkubwa kabisa wa Kitaifa akiwa madarakaniWatu wanamlaumu Mabeyo bure tu!
Si ajabu wanataka hata kuona akiuliwa kwa firing squad kwa ‘makosa’ aliyoyafanya.
Given the circumstances, sioni alipokosea.
SMH!