Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Wacheni lawama za Kijinga kama umemsikiliza vizuri alitumia approach za concesus na mwishoni yeye na Kamati Yake ya ulinzi ndiyo waliyekuwa wanaamua kikatiba!Hilo hata mimi limenishangaza. Lkn hata kama alikuwa hajui hilo, ina maana alishindwa kuwa na mwanasheria ambae angemwambia ni nani mwenye jukumu la kutangaza kifo cha raisi au kiongozi mkuu wa serikali.
Toka lini kifo cha mkuu wa nchi kikatangazwa na katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu huku makamu wa raisi akiwa nchini!
Wanasiasa huwa wanaweka interests wakiongozwa na wakina Ndugai! Unafikiri ni kazi rahisi mbele ya wafia dini wa Amirata na Sukumagang ya wakina Ndugai, Bashiru na Polepole?