Jizi na lipenda rushwa nalo linachangia bila aibuTatizo la heche anajionaga ana akili sana kuliko yoyote, 2010 halmashauri ya tarime ilikuwa chini ya chadema na yeye akiwa diwani, hakuna cha maana chochote walichofanya.
Kama eneo dogo tu wilaya kachemka nchi nzima ataiwezea wapi?
Heche ana upeo mdogo sanaView attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Twende kwenye data, ukiangalia vigezo na masharti vikizingatiwa je kuna ushahidi kwamba viongozi wana utimamu kichwani?Tatizo la Heche anajionaga ana akili sana kuliko yoyote, 2010 halmashauri ya tarime ilikuwa chini ya chadema na yeye akiwa diwani, hakuna cha maana chochote walichofanya.
Kama eneo dogo tu wilaya kachemka nchi nzima ataiwezea wapi?
Yaweza kuwa kweli lakini mbona kila leo mnamjadili humu. Au nyie ndiyo mna upeo mdogo.Heche ana upeo mdogo sana
Umeathirika na nidhamu za woga kwa viongozi. Ni hivi, kiongozi anayeingia madarakani kwa wizi wa kura na mauaji hana heshima yoyote. Huwezi kuingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha utake heshima. Hilo moja.View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Mzee kuna muda unaandika mashudu 100%. Tukianza na kauli ya kusema viongozi hawana maarifa wala akili ni kauli sahihi kabisa. Ulitaka atumie neno gani kuelezea uhalisia wa “upeo” wa hao viongozi kwa kushangilia Congo kuwekeza nchini? Yaani Congo awekeze Tanzania! Kwa kipi? Kama ana huo mtaji kwa nini asiwekeze kwao?View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, oja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Shida ya siasa za nchi hii…. Mtu akipewa uongozi anasahau kabisa kwamba he or she is not the most intelligent personView attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Majizi mengi yana akili sanaJizi na lipenda rushwa nalo linachangia bila aibu
Heche kakosea. Uwekezaji ni fursa zaidi kuliko asili. Mchaga anaweza acha ardhi kubwa ya urithi kilimanjaro akaenda morogoro kulima.View attachment 3653552
Kauli ya Heche inaleta dharau isiyostahili kwa viongozi wa Taifa. Kuwaambia “hakuna watu wenye akili na maarifa” si hoja, ni matusi yanayodhalilisha taifa badala ya kujenga. Uongozi una majukumu magumu; kukosoa kwa lugha ya kejeli hudhoofisha heshima ya nchi.
Kwa uwekezaji wa kutoka nje, teknolojia ni mojawapo tu. Mtaji ndiyo msingi mkuu, bila pesa hakuna kitu. Soko kubwa, utulivu wa kisiasa, sera nzuri, miundombinu, na motisha ya kodi ni muhimu zaidi. Mwekezaji wa Congo anaweza kuleta mtaji wake na kununua au kuleta teknolojia. Congo ina madini mengi na idadi kubwa ya watu, soko linalokaribiana nasi. Kuwaalika katika kilimo, uvuvi na madini kunafungua milango ya biashara ya pande zote, si kudhoofisha.
Kushughulikia bandari ni jambo zuri, lakini si kisingizio cha kukataa ushirikiano mbalimbali. Ushirikiano wa kikanda unajenga nguvu pamoja. Kukosoa bila kuona fursa ni kudumaza maendeleo. Hoja yake inakosa uelewa wa biashara za kimataifa na inaonekana zaidi kama siasa kuliko uchambuzi wa kiuchumi.
Baba levo yupo Bungeni, anaweza kuona kweli haya mambo ya uwekezaji ? au ndio uharibifu wa miundombinu ya Bungeni kwa kuipiga piga kushangalia tu.Twende kwenye data, ukiangalia vigezo na masharti vikizingatiwa je kuna ushahidi kwamba viongozi wana utimamu kichwani?