Uchaguzi 2020 Kauli ya Jaji Kaijage na yanayopangwa kufanywa na NEC kwa wagombea Urais

Tatizo kwa sasa ni kuwa ktk nchi hii rais amepotoshwa kuwa yuko juu ya sheria kitu ambacho sio kweli.

Anafikiri anaweza tu akaamuru chochote kifanyike na kikafanyika na wateule wake ambao wamekuwa na unyenyekevu wa kondoo kwake wana kawaida ya kutii bila kuhoji.

Endapo Magufuli ambaye ana kawaida ya kuogopa ushindani akijaribu kulazimisha Lissu akatwe asigombee, hiyo itapelekea uchaguzi wa Tanzania kukosa credibility mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa na itapelekea serikali yake itengwe hali ambayo itafanya uchumi uporomoke na yeye kuchukiwa na nchi nzima. Achunge sana.
 
Labda tukitengwa itawaingia akilini... maana siku akishindwa kulipa mishahara na watu kuingia barabarani ndio watajua kwamba paka ana roho saba.
 
Mzee atulie; akijichanganya kidogo tu ataliingiza taifa kwenye machafuko makubwa!!

Hekima itumike, asije akajikuta anamalizia maisha yake yaliyobakia na safari za ze hegi.
 
Lissu amepitishwa kugombea Urais 2020 kupitia CDM
 
Kwahiyo mnawataka hao kina Lissu wawe juu ya Sheria. Kama mtu amekosa sifa za kikatiba kwanni mnalazimisha achaguliwe. Mnachotafuta ni nn hasa?
 
3 August 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Toka Mlimani City : mkutano wa Baraza Kuu wa Chadema:

Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA wamepiga kura kupendekeza nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwapigia kura ifuatavyo :

Wajumbe 442 wa Baraza Kuu wapiga kura :
Matokeo: Tundu Lissu 405 , Lazaro Samuel Nyalandu 36 na Dr. Mayrose Kavura Majinge 1.
 
Tume inafuata sheria msitake kulazimisha Tume ivunje sheria kisa kuna mtu mna mapenzi nae. Sheria haiangalii mtu usoni.
 
Mkuu tumia akili zako vizuri usitumie hisia za ushabiki, NEC ndiye msimamizi wa uchaguzi NEC ni mwamuzi wa mchezo wa kura naye ana nguvu ya kufanya hayo.
 
Hili linaweza tokea, tujipe muda coz mkulu ana kila dalili ya kutaka kupita bila kupingwa.
 
Kazi ya tume ni kusimamia process nzima mwanzo mpaka mwisho wa uchaguzi.Kwa hiyo hata anayejulikana ni jambazi aliyekubuhu akiptishwa na chama chake kwa ushabiki tu basi tume nayo impitishe ? sasa hiyo ni tume kweli ?
 
" hata anayejulikana ni jambazi aliyekubuhu"- Ushahidi uko wapi kwamba ni jambazi na ni mahakama gani ilimpata na hatia huyo jambazi sugu au ni maneno ya mtaani tu?

Kusimamia process sio kutafsiri shera ndugu... soma Art 74 ya katiba yetu ujue mambo, sio hizi habari za kukaririshwa...
 
TAL ni mzalendo nambari one, labda hujui tafsiri halisi ya mzalendo!
 
Kazi ya tume ni kusimamia process nzima mwanzo mpaka mwisho wa uchaguzi.Kwa hiyo hata anayejulikana ni jambazi aliyekubuhu akiptishwa na chama chake kwa ushabiki tu basi tume nayo impitishe ? sasa hiyo ni tume kweli ?
Ila ivizie kumzuia ili mgombea mwoga apite bila kupingwa, au ashindane na akina Dovutwa na Shibuda?
 
Kazi ya tume ni kusimamia process nzima mwanzo mpaka mwisho wa uchaguzi.Kwa hiyo hata anayejulikana ni jambazi aliyekubuhu akiptishwa na chama chake kwa ushabiki tu basi tume nayo impitishe ? sasa hiyo ni tume kweli ?
Tume ndiye Lefa wa mchezo,
 
Tume zote mbili zipo kuitafunia CCM isiyokuwa na meno.
 
Ulichoongea hapa ni propaganda za MafisiCCM wa Lumumba Street!
Sifa zote hizi ni FAKE na za kubumba! Sifa hizi hata Magufuli anazo:
1. Uzalendo: Hivi kujenga fly ovyo, SGR na Stieglers Gorge ndo uzalendo ilihali WATANZANIA WANAOGELEA KWENE DIMBWI LA UMASKINI?
2. Msimamo: Magufuli Hana msimamo wowote zaidi ya UBABE tu. Alizuia mchanga wa MADINI baadaye kaachia kwa mazingira yasiyoeleweka. Aliuza nyumba za Serikali n.k.
3. Usaliti: Magufuli amesaliti mila na tamaduni zetu kwa KUZUIA WATOTO WA KIKE WASIENDELEE NA MASOMO KISA UJAUZITO.
4. Magufuli kasomea KEMIA hivo hata yeye hana Economic Plans zozote zaidi ya kumtegea Bwana Mpango.
5. Record mbaya: Magufuli aliuza nyumba za Serikali akiwa Waziri Ujenzi. Ameumiza na kupoteza Watz wengi kwa hulka ya Udikteta alonayo.

6. Maadili: Hata Magufuli hakuwa na maadili yoyote wakti akibebwa na CCM kuingia Ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…