Tatizo kwa sasa ni kuwa ktk nchi hii rais amepotoshwa kuwa yuko juu ya sheria kitu ambacho sio kweli.Tume yetu ya sasa inatokana na Article 74 ya katiba yetu , Art74 (6)(a-e)
kazi za tume zimesemwa hapa:
Hakuna hata kipengere kimoja kinachosema kwamba watatafsiri sheria...
- The overall supervision and conduct of Presidential and Parliamentary elections in the United Republic of Tanzania and local government elections in Tanzania Mainland;
- Provide voter education;
- Coordinate and supervise persons offering voter education; and
- Make regulations and guidelines that facilitate the effective operationalization of the day-to-day conduct of electoral duties.
Mahakama inapata nguvu zake hapa katika Art. 107A katiba yetu...
Katiba inapatiukana hapa: https://rsf.org/sites/default/files/constitution.pdf
Anafikiri anaweza tu akaamuru chochote kifanyike na kikafanyika na wateule wake ambao wamekuwa na unyenyekevu wa kondoo kwake wana kawaida ya kutii bila kuhoji.
Endapo Magufuli ambaye ana kawaida ya kuogopa ushindani akijaribu kulazimisha Lissu akatwe asigombee, hiyo itapelekea uchaguzi wa Tanzania kukosa credibility mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa na itapelekea serikali yake itengwe hali ambayo itafanya uchumi uporomoke na yeye kuchukiwa na nchi nzima. Achunge sana.