Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Kumbuka anakinga ya kutoshitakiwa kwa matende yake akiwa mmlakani
 

Unatoa vitisho vya masaa ya kuishi, halafu unasema anawakemea?
 
Hii ni kauli kali mno kutolewa na Jaji Mkuu, ambayo bila shaka imechagizwa na jazba, mimi nilidhani Mh Jaji Mkuu angejaribu kuangalia kufuatilia kisa cha majaji kushutumiwa mitandaoni badala ya kuwapiga mikwara watoa shutuma.
Na yeye anatafuta "UDIKTETA" kwenye chombo chake.

Nchii hii tunao watu wa ajabu sana. Huyu naye Profesa mzima, anadhani kutumia vitisho ndiyo njia sahihi ya kuondoa tatizo?

Kwa hiyo, anataka kufanya nini. Na yeye anao "WASIOJULIKANA" ili wawashughulikie hao anaowatisha?
 
Matamshi ya aina hii ni ushahidi tosha kabisa kwamba nchi yetu imefikia pabaya sana, na kwamba njia pekee iliyobakia ni kuondoa hizi takataka kwa kila aina ya njia ziwezekanazo.

Hawa watu sasa wanajiona wazi kwamba wao wapo juu ya sheria kabisa. Sheria wanayoijuwa ni ile wanayoitaka wao tu basi.
 
fanya hayo machafuko uonekane si uliliona lile komandoo la ukweli la jana? hilo siyo kama adamoo hilo likikukamata linakunyonya mavi
 
Ukishaona Jaji mkuu katika nchi anagandamiza uhuru wa kujieleza pamoja na uhuru wa kutoa maoni jua hilo ni Taifa mfu ambalo wananchi wake ni maiti zinazotembea.
wewe pekeyako ndiyo maiti sisi ni binadamu hai
 
JPM aliwaambia anajua hoteli wanazofikia na pesa wanazolipwa na walikaa kimya. Leo watu kulalamika mambo yanavyoendeshwa imekuwa nongwa.
 
Ndg wananchi kama mlivyomsikia Jaji mkuu akiwalalamikia mawakili wa Mbowe kwamba kwanini wanawakosoa mawakili wa serikali mitandaoni,,,,,,,,Kumbe Jaji nae anatamani Mbowe afungwe.
Duniani hapajawahikuwa fair
 
Kuna haja gani kumtaja Jaji na Wakili mpaka anapoishi? Mnataka kwenda kumfanyia ugaidi au?
 
wewe pekeyako ndiyo maiti sisi ni binadamu hai
Wewe ni maiti kwa sababu ungekuwa hai kwa kauli aliyotoa jaji, sasa hivi ninapoandika hapa huyo jaji asingekuwa kwenye nafasi hiyo ya ujaji.

Bado yupo kwenye nafasi ile kwa sababu wewe pamoja na wananchi wengine ni maiti zinazotembea.
 
Mimi na wewe hatujui Bado , tuendelee kujadiliana huenda tukapata majibu.
 
Wewe ni maiti kwa sababu ungekuwa hai kwa kauli aliyotoa jaji, sasa hivi ninapoandika hapa huyo jaji asingekuwa kwenye nafasi hiyo ya ujaji.
yaani unapoteza muda wakutafuta dagaa wa kula na familia yako inashinda njaa kisa kununua bandle uje ubishane jf mambo yasiyo na maana huyo mbowe akitoka atakusaidia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…