Huna lolote eti matusi. Mimi sijafundishwa kumwita binadamu kuwa ni ibilisi hasa mtu akishatoka duniani. Wewe ni fala tu huna lolote.Hapa hamna mtu,ukoo wa shetani huu. Hayo matusi kwa mzazi wango ndo unabishana nae? Kizazi cha ibilisi hiki ni cha kuombea. Huna hoja unakimbilis matusi. Mimi sikulelewa hivyo ndugu. Nyie hata mumteeje huyo ibilisi wenu hasafishiki lilikuwa ni tatizo na yote haya tunayopitia psmoja na wewe kuwa- traumatized ni yeye. Na atakukutesa sana mana ulikuwa unamwona Mungu. Pole Sana ndugu.
amkuwa na ushahidi wowote zilikuwa propanganda tupu! Mlishindwa kihalali tu.
Hivi nyinyi mkishinda uchaguzi mtafuta kila mtu kwenye utumishi wa umma? Kwa sababu mmegombana na watu wote kuanzia vyombo vya dola, mahakama, bunge na wananchi wakawaida kila siku mnawaita wajinga sasa mtatawala wanyama au? Ndiyo maana tunasema nyinyi kutawala TZ labda baada ya miaka 3,000.
NakaziaNjaa mbaya sana
Yeye najua anamaanisha mawakili ambao anauwezo wakuwawajibisha siyo wewe kula kulala. Utaona kama wataendelea kubwabwaja atawafutia leseni za uwakili wao yeye ndiyo mwajiri wao anayo mandate!Nenda kamwambie Jaji aje kusoma comments za hao anaowafahamu hadi kwa majina yao ya bandia. Mwambie sasa wamehamishia mashambulizi kwake. Jiwe alishambuliwa hadi dk ya mwisho sembuse yeye??
Kuna watu walikuwa na midomo michafu kama ISIS na Bia yetu humu JF?? Nini kimewanyamazisha humu JF??Wewe ndiyo shetani pamoja na mama yako. Kwani lini umeacha kuwa shetani na ukoo wenu? Ass!
i mbaya wenu si akiondolewa na mungu wenu bila kumwaga damu?
Kimaadili haifai kumkosoa jaji kwa kutag picha zao ama kutaja mahali wanapokaa hasa mambo hayo yajifanywa na wakili.Wote wanaofanya hivyo wanafahamika na kwamba siku zao zimekwisha .[emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji15]haya mambo kumbe bado yapo
Unaota mchana kweupeee!! Ndiyo maana kuongoza nchi hii mtabaki huku kwenye mitandao kijamii pekee yake. Hamna busara kabisa nani atawaunga mkono kwa kuwadharau wakigakura wa maana katika nchi hii ambao mnawaita wanauwezo duni.Kwa taarifa yako kungekuwa na mahakama huru na nayoaminika, ushahidi tulionao sio kufuta uchaguzi tu, hata CCM ingefutwa kabisa.l
Hakuna mwenye mpango wa kumfuta mtumishi yoyote wa umma, ila wote wenye uwezo duni na kutegemea nafasi za mifumo dhaifu, automatically wataondoka.
Hawatakuelewa hao nyumbu!Kimaadili haifai kumkosoa jaji kwa kutag picha zao ama kutaja mahali wanapokaa hasa mambo hayo yajifanywa na wakili.......
ni muhimu kukosoa hukumu zao kwa njia ya rufaa......
sio kuwachamba ........
unawa-intimidate
proffesionally haikubaliki
Chief Justice yupo sahihi
Bahati mbaya huyo unayemweleza hata haelewi unachomweleza. Taifa aliacha ameliharibu mwendazake watu waliaminishwa mambo ya uongo.Kwa taarifa yako kungekuwa na mahakama huru na nayoaminika, ushahidi tulionao sio kufuta uchaguzi tu, hata CCM ingefutwa kabisa.l
Hakuna mwenye mpango wa kumfuta mtumishi yoyote wa umma, ila wote wenye uwezo duni na kutegemea nafasi za mifumo dhaifu, automatically wataondoka.
Na wewe una mdomo mchafu sana.Kuna watu walikuwa na midomo michafu kama ISIS na Bia yetu humu JF?? Nini kimewanyamazisha humu JF??
Watu wanaongea mambo ya msingi kwajili yako na kizazi chako. Wewe unaleta mizaha? Fimbo ya Mungu ikija usikimbilie neno uzalendo.
mu ya mawakili kukosoana ni mahakamani siyo mitandaoni!
naota mchana kweupeee!! Ndiyo maana kuongoza nchi hii mtabaki huku kwenye mitandao kijamii pekee yake. Hamna busara kabisa nani atawaunga mkono kwa kuwadharau wakigakura wa maana katika nchi hii ambao mnawaita wanauwezo duni.
Hopeless ever!Bahati mbaya huyo unayemweleza hata haelewi unachomweleza. Taifa aliacha ameliharibu mwendazake watu waliaminishwa mambo ya uongo.
Sasa nyinyi si mnasema mnaakili sana kuliko CCM sasa mbona mmeshindwa kuiondoa madarakani na akili zenu??Ingekuwa kura ndio zinaamua nani akae madarakani leo hii ccm ingekuwa kama KANU ya Kenya.usitake kujifanya kuwa CCM iko madarakani kutokana na kura, wakati ukweli wote tunaujua.
Tuanzie wapi kujadiliana kati yako na mimi?Mimi na wewe hatujui Bado , tuendelee kujadiliana huenda tukapata majibu.
Hivi huwa unapigania nini ?Sasa nyinyi si mnasema mnaakili sana kuliko CCM sasa mbona mmeshindwa kuiondoa madarakani na akili zenu??
Napigania Chadema isipate madaraka katika nchi hii milele!Hivi huwa unapigania nini ?