Huna lolote eti matusi. Mimi sijafundishwa kumwita binadamu kuwa ni ibilisi hasa mtu akishatoka duniani. Wewe ni fala tu huna lolote.Hapa hamna mtu,ukoo wa shetani huu. Hayo matusi kwa mzazi wango ndo unabishana nae? Kizazi cha ibilisi hiki ni cha kuombea. Huna hoja unakimbilis matusi. Mimi sikulelewa hivyo ndugu. Nyie hata mumteeje huyo ibilisi wenu hasafishiki lilikuwa ni tatizo na yote haya tunayopitia psmoja na wewe kuwa- traumatized ni yeye. Na atakukutesa sana mana ulikuwa unamwona Mungu. Pole Sana ndugu.