eminent luxy
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 343
- 358
Tanzania hee inchi yangu hee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna tofauti na maiti tuwewe pekeyako ndiyo maiti sisi ni binadamu hai
Wewe ni hopeless you know nothing about politics. Shut up!!Wewe cio mzima. Kama haya ndiyo mawazo yako unatakiwa kuombewa. Mtu anawaambia wasimamizi wa uchaguzi kuwa ole wenu muwatangaze wapinzani mtaniona halafu kwa mazingira kama hayo inaendaje mahakamani.
Na wewe je?Huna tofauti na maiti tu
Lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa ndugu. Kama ulikuwa umeneemeka pole sana umeshatoka hiyo. Muulize nduguyo Bashiru ana sonona ya kufa mtu. Hata wewe naona bado upo traumatized na kilichotokea hujaamini. Pole jifunze husiwekeze kwa shetani ni risk kwani certainty yake ni ndogo.Kwani wewe ni Mungu unajua mwisho wa binadamu? Unaandika kama utopolo tu.
We kweli kiazi kilichooza kabisaa. Pole kiwewe ni hatari muulize Sabaya.Wewe ni hopeless you know nothing about politics. Shut up!!
Wewe ndiyo shetani pamoja na mama yako. Kwani lini umeacha kuwa shetani na ukoo wenu? Ass!Lililofungwa duniani na mbinguni limefungwa ndugu. Kama ulikuwa umeneemeka pole sana umeshatoka hiyo. Muulize nduguyo Bashiru ana sonona ya kufa mtu. Hata wewe naona bado upo traumatized na kilichotokea hujaamini. Pole jifunze husiwekeze kwa shetani ni risk kwani certainty yake ni ndogo.
Kwanini ni simuulize mama yako mkuu? Niko naye hapa Guest ngoja nimuulize nitakupa update in few minutes!!We kweli kiazi kilichooza kabisaa. Pole kiwewe ni hatari muulize Sabaya.
Hapa hamna mtu,ukoo wa shetani huu. Hayo matusi kwa mzazi wango ndo unabishana nae? Kizazi cha ibilisi hiki ni cha kuombea. Huna hoja unakimbilis matusi. Mimi sikulelewa hivyo ndugu. Nyie hata mumteeje huyo ibilisi wenu hasafishiki lilikuwa ni tatizo na yote haya tunayopitia psmoja na wewe kuwa- traumatized ni yeye. Na atakukutesa sana mana ulikuwa unamwona Mungu. Pole Sana ndugu.Kwanini ni simuulize mama yako mkuu? Niko naye hapa Guest ngoja nimuulize nitakupa update in few minutes!!
Nenda kamwambie Jaji aje kusoma comments za hao anaowafahamu hadi kwa majina yao ya bandia. Mwambie sasa wamehamishia mashambulizi kwake. Jiwe alishambuliwa hadi dk ya mwisho sembuse yeye??Vipi mkuu wewe ni mmoja wao waliotajwa na Jaji Mkuu nini? Mbona mapovu mengi sana?
fanya hayo machafuko uonekane si uliliona lile komandoo la ukweli la jana? hilo siyo kama adamoo hilo likikukamata linakunyonya mavi
[emoji38][emoji38][emoji38]Makomandoo wa kupasuliana tofali kichwani? Yaani hata sina muda wa kuangalia vitisho outdated kama hivyo vilivyokuwa vinafanyika hapo uwanjani. Washamba ndio huwa wanakogeka na yale maonyesho ya kizee. Huwa tunaangalia silaha za kisasa na movie latest tunaona mbinu na vifaa vya ukweli, sio hayo mandege na mahelicopter ya diseli.
Huyu jaji mkuu kwa ujumla, yeye mwenye hana sifa. Wakati wa marehemu, alikuwa anashiriki vikao vya siri vya akina Polpole na Bashru. Na aheri angegombea hata umwenyekiti wa CCM mkoa.CJ wetu siyo mtu makini na ile nafasi aliipata kwa itikadi ya ukanda wakati wa Magufuli. Japo ni mtu mwema kama binadamu na mwalimu mzuri wa sheria, lakini kuwa CJ ni mzigo mkubwa sana kwake
Baada ya ku-neutralize mihimili yote na kuifanya matawi ya CCM wanashangaa kugundua sauti kinzani ya wananchi ikiendelea kusikika toka “nyikani”.Leo amethibitisha kuwa yupo CCM,
Hii nchi ina viongozi wa hovyo kweli,
Rais anaita chokochoko
Spika anasema atawashughulikia ndani na nje ya bunge,
Jaji mkuu anadai wakosoaji siku zao zimekwisha,
Hivi CCM wanashangaa nini, hivi hawakujua ukitoa sauti ya mawazo mbadala Bungeni, madiwani na serikali za mtaa, SAUTI HIYO HAIFI BALI INAHAMIA MTAANI NA MITANDAONI [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ndio raha ya kubaki wenyewe serikalini na bungeni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au walijua watapata raha ipi
Wameshika Dola kwa 100% ila kila siku wanacheza ngoma za nje ya dola [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]