Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Kauli ya Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma ni vema ikajadiliwa' ni kuhusu Mitandao ya Kijamii

Tuanzie wapi kujadiliana kati yako na mimi?

Tofauti na wewe, mimi nimeeleza maoni yangu, pamoja na kuuliza maswali. Wewe hata swali la kuuliza huna au hujui!
Kwa maana hiyo ni kwamba huna lolote la kujadili na mimi, kwa sababu ni mtupu.
Musee mbona povu lote Hilo, uko sawa sawa au imejeruhiwa🤔.
 
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
Kila nilipopata wasaa nilijiunga clubhouse.Jambo la kwanza ni kuwa mawakili wengi walilimisha watu hasa wakai ambapo utata ulipotokea katika maamuzi.Wengi walikuwa walikuwa wanakiri kwamba "kwa sababu za kimaadili siwezi kwenda ndani sana".

Jaji Mkuu angetafaari kwanza kwa nini mambo yawe hivi wakati huu,naamini hapo atapat muarubani wa tatizo lakini akiwavua leseni mawakili na hata akawatia rumande (kama inawezekana) ndipo atakuwa amechochea moto!!
 
Kila nilipopata wasaa nilijiunga clubhouse.Jambo la kwanza ni kuwa mawakili wengi walilimisha watu hasa wakai ambapo utata ulipotokea katika maamuzi.Wengi walikuwa walikuwa wanakiri kwamba "kwa sababu za kimaadili siwezi kwenda ndani sana"...
Moto gani. Mawakili wanatakiwa waheshimu viapo vyao. Wakili hapashwi kumtag Jaji kwenye utumbo wake hadi kufikia kuonyesha anapoishi Jaji na Wakili kwa nia gani?

Utaratibu kama hujaridhika na maamuzi ya Jaji ni kukata rufaa siyo kubehave kama mhuni wa mitaani wakati unajiita Msomi Wakili. Wataifanya taaluma yao idharaulike very soon kwa tabia za kihuni kama hizi.
 
mkuu hata Jina simkumbuki kwa Sasa atapotea Kati watu maarufu pu tu akiachia ngazi
 
Ndg wananchi kama mlivyomsikia Jaji mkuu akiwalalamikia mawakili wa Mbowe kwamba kwanini wanawakosoa mawakili wa serikali mitandaoni,,,,,,,,Kumbe Jaji nae anatamani Mbowe afungwe.
duh kwa nchi makini alipaswa aachie ngazi. maana tayari ameshaonyesha bias....ana uhakika gani kuwa ni mawakili wa mbowe ndiyo wanawaponda mawakili wa serikali mitandaoni? Kwa hiyo kila anayeponda mawakili wa serikali, ni wakili wa mbowe mahakamani....
 
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
Majaji wa Magufuli wana matatizo.... Hata viwango vyao vinatia wasiwasi.
 
Moto gani. Mawakili wanatakiwa waheshimu viapo vyao. Wakili hapashwi kumtag Jaji kwenye utumbo wake hadi kufikia kuonyesha anapoishi Jaji na Wakili kwa nia gani? Utaratibu kama hujaridhika na maamuzi ya Jaji ni kukata rufaa siyo kubehave kama mhuni wa mitaani wakati unajiita Msomi Wakili. Wataifanya taaluma yao idharaulike very soon kwa tabia za kihuni kama hizi.
Unamaanisha fani ya uwakili itadharaulika kama ujaji au ujaji mkuu?
 
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
Vitisho, Jaji jibu hoja zao acha kuwa mbabe
 
duh kwa nchi makini alipaswa aachie ngazi. maana tayari ameshaonyesha bias....ana uhakika gani kuwa ni mawakili wa mbowe ndiyo wanawaponda mawakili wa serikali mitandaoni? Kwa hiyo kila anayeponda mawakili wa serikali, ni wakili wa mbowe mahakamani....
Si wanajitambulisha kwenye Space za wanaharakati kwani ni siri mkuu?
 
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
Safi Sana wanatakiwa wanyoshwe maana wanadhani kuwa mwanasheria basi ni kibali cha kutoheshimu maadili.
 
MwanaHalisi Digital imemnukuu Jaji Mkuu wa Tanzania akikemea vikali tabia ya baadhi ya watu wakiwemo wanasheria ya kumkosoa Jaji au mwanasheria wa upande mwingine kiasi cha kumtaja kwa jina na picha yake, na wakati mwingine kutaja hadi mahali anakokaa...
Kwa upande wangu, ni vizuri kuona tatizo na kulitatua. Jaji Mkuu awe ndiye anayewaunganisha majaji, mahakimu na mawakili na asiwe wa kutafuta wachawi.

Of course, kama kuna wanaodhalilishwa, siyo vizuri maana kila mtu anastahili heshima. Ila wanaokosoa wasionekane kama ni wabaya maana kukosoa kwao kunalenga judiciary yetu iweze kuwa huru zaidi na itoe haki kwa wote wanaoikimbilia bila woga na bila upendeleo.

Kwa kifupi, wadau wa sheria na utoaji haki wangependa kuona hivi: 'Judges, like Caesar's wife, must be beyond suspicion'.
 
Back
Top Bottom