Kauli ya Julius Malema kuhusu kifo cha Malkia Elizabeth inasikitisha na kuhuzunisha

Mungu hasikilizi maombi ya ulazwe pema peponi. Wala ya walio hai kuwaombea wafu. Bali ya waliohaki kuwaombea walio hai. Kila mmoja anapewa nafasi ya kutengeneza hapa dunian na Mungu wake
Kweli nmeamini kila mtu ana MUNGU wake mkuu

Nitarudi ngoja kwanza nije..
 
EFF Chama chake
Ila katika sera zake yeye na hicho chama chake wanapinga sana hoja ya kuwakataa wageni ingekua hicho chama kina sera kama ya ANC mauaji yangekua mengi sana maana EFF kina vijana wengi sana wale ANC wanabariki kauli za kibaguzi unaona kabisa mayor wa Jiji anatangaza kuwakataa wageni na Chama hakiongelei kitu..
 
Inasikitisha kweli
 
Ndio kashasema tayari wao yeye na chama chake hawaombolezi kifo hicho na sababu wameziweka
 
Ila Kazi ya ng'ombe ni kuliwa nyama na kutoa maziwa sio kulima huo ni uprimitive tunayachukua mazuri ya wazungu mabaya yao tunawaachia nunua trekta au power tiller ulimie Mwache ng'ombe apumzike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hao walio tuletea neno "primitive" kwenye shughuli zao ngumu walitumia farasi ambaye ni mnyama kama ng'ombe.

Tunapo hama hatua moja kwenda hatua nyingine ni bora zaidi iwe kwa utashi wetu. Kwenye kilimo tumekikimbia kilimo chetu cha asili,tupo kilimo cha kisasa ila mbegu tunazo panda siyo kwa utashi wetu,zimetoka kwa hao hao wazalisha mapawatila na matrekta,je,tabia ya nchi ya kwao na huku zinafanana?!!
Nadhani hawa wazungu wametufanya soko la mapowatila na mbegu zao za kisasa.

#nasimamanajuliusmalema...
 
We do not mourn the death of Elizabeth, because to us her death is a reminder of a very tragic period in this country and Africa's history.... If there is really life and justice after death, may Elizabeth and her ancestors get what they deserve."
[emoji818][emoji817][emoji1533]
 
Hakuna maendeleo yeyeto duniani kwa kumkwepa Mzungu.Nchi zote zilizoendelea wametumia vya wazungu.Kama machine zipo kwann utumie farasi.
 
Maneno mazito sana !!!
 
Hatuwe kufanana wote kimtamo. Malema ameandi anachokijua ktk uhalisia wake. Ni uhuru na haki yake. Hakuna unafiki kama hizi chawa.
 
Haya majitu ya ANC yote ni Marxists watupu. Najuta siku zote kuyapigania yajitawale. Yamerithi nchi tajiri kupita zote Latin America na bara la Africa lakini kuna ziki sana huko kwao S Africa kwa sababu ya vinyongo vyao kwa Ulaya na Marekani.
Kwamba wamerithi? Wewe huwezi kuwa makini
 
Point tupu
 
You serious? Amekwambia anatafuta kuheshimika? Heshima ya kutwezwa na kunyonywa?

If we had even a couple of strong and sound-minded individuals like him, Africa and most desperate parts of the world would have been long liberated from the dire, unrelenting shackles of neocolonialism and imperialism.
 
South Africa itself is under neocolonialism and imperialism by his own fellow blacks! and he is himself in SA!
 
Malema ni mkora tu kama wakora wengine! Huyu haendi popote! Atakaliwa kooni na wenzake humo humo SA! hata lugha aliyokuwa anatumia kwa Zuma, siyo lugha ya kesho kumpa uongozi wa juu. Atakaa hapo hapo EFF!
 
Mkuu definitely u can do better than this, tuwe tunapanua jinsi tunavyofikiri, Queen Elizabeth amefariki na within 24 hrs mrithi wake amepatikana bila migogoro, inside Malema country wana utawala huu wa kimila na toka king afariki hadi leo bado wanapigana kugombea Ile asali, na Mr Malema hajaongea hata neno moja maana Zulus sio soft target, na elewa ardhi almost yote ya kwa Zulu natal ipo chini ya king 🤴, Leo malema anapiga Doma kuhusu ardhi why kama ni brave enough asianze kupigania ardhi ile?,malema ni dictator
 
South Africa ni mwanachama wa Commonwealth, huyo mvuta bangi mwache afurahie nafsi yake.

Statement ya South Africa itatolewa na Rais wao Ramaphosa na siyo huyu mvuta bangi anayekwenda na nguo za mafundi bungeni.

Cha msingi tu South Africa ni nchi ya kidemokrasia watu wanaheshimu tu ametumia haki yake ya Uhuru wake wa kutowa maoni.

Hata Uingereza kwenyewe hili limeshawahi kutokea baada ya kifo cha former PM Bi Margaret Thatcher kulikuwa na maandamano mitaani Kwa waliokuwa wakifurahia kifo chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…