Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.

"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.

“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."

Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko Ethiopia.

MY TAKE
Kwanini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
 
Labda na sisi tuanze kuuana kama Tigray ili tuachane na covidi, maana Tigray wana magonjwa mengine kama yetu tu lakini ukiwa unawindwa kwa risasi ya moto hayo magonjwa yanakuwa hayana umuhimu.

Magonjwa yatakuua ndani ya siku kadhaa, wiki au miezi lakini risasi ya moto ni ndani ya sekunde kama sio dakika kadhaa.
 
exactly ndicho alichomaanisha WHO Director.. huyu Mfuasi wa Jiwe haelewi lolote, akili iko kwa Jiwe
 
Labda na sisi tuanze kuuana kama Tigray ili tuachane na covidi, maana Tigray wana magonjwa mengine kama yetu tu lakini ukiwa unawindwa kwa risasi ya moto hayo magonjwa yanakuwa hayana umuhimu.

Magonjwa yatakuua ndani ya siku kadhaa, wiki au miezi lakini risasi ya moto ni ndani ya sekunde kama sio dakika kadhaa.
Tanzania inayo magonjwa mengi ya hatari na risks nyingi za hatari ambazo zinahitaji kuwekwa sawa hata kabla ya hii artificial intervention ya covid 19
 
Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.

"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.

“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."

Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko ethiopia.

MY TAKE
Kwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
Brother sisi sio Ethiopia Tendros kaongea kuwalenga watu wengine kwa maoni na mahitaji kwa mtazamo wake na watu wake!
 
Tedros katuonesha kuwa KUPANGA NI KUCHAGUA mjomba
 
Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.

"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.

“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."

Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko ethiopia.

MY TAKE
Kwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
Anamaanisha kwamba kutokana na mgogoro wa vita huko Tigray hakuna yeyote anayeiweka COVID-19 kama kipaumbele ili kulinda afya zao. Watu wako busy na vita.

Kwa mantiki ukiachana na COVID-19 watu wa Tigray wanakufa kwa pia kwa vitu vingine kama vita.
 
Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.

"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.

“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."

Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko ethiopia.

MY TAKE
Kwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
Aisee..mbona huna akili kabisa..?? Yani ngumbaru kabisa..
Haujamwelewa kabisa WHO Director...
Nenda huko kalinde kaburi la Meko.
 
hakuna hoja hapo ni mawazo ya Mwendazeke unayaleta hapa, hakuna hoja. Mfuate Mwendazake , nasikia ameanzisgsha Republic yake inaitwa After -Tanzania.... kama ile ya trial of Christopher Okigbo ya After- Africa
Unakuta mpaka wakati unaandika hapa huna barakoa, huna wazo la kupata chanjo, huiamni chanjo! Hunawi mikono kwa maji tiririka, huna sanitizer, unagombea daladala au mwendokasi.. Unaingia sokini na kushika kila bidhaa na bado unayaponda mawazo ya JPM huku unayaishi. Covid 19 ni jinamizi... Linalo toka kwa maombi.
 
Watu wanaokufa kwa Malaria nchi ni wengi zaidi ya Covid-19, basi tuwe tunatembea ndani ya vyandarua usiku pia waweke curfew usiku watu wasitoke ili wasife na Malaria, hizi ndio akili za SSH.
 
Back
Top Bottom