Ni kweli kabisa Jingalao ,tuna magonjwa mengine mengi hatari zaidi ....mojawapo ni UJINGA!
Hebu jadili hoja iloyopo mezani .wewe umelogwa na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jadili hoja iloyopo mezani .wewe umelogwa na nani?
Sasa jiwe amehusikaje kwenye hilo bandiko?Punguza mihemko😎Jiwe amewaloga kabisa nyie watu. Nadhani mfuateni muanzishe republic ya kwenu huko aliko
Jamhuri ya watu wa kuzimu!?[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2984]Jiwe amewaloga kabisa nyie watu. Nadhani mfuateni muanzishe republic ya kwenu huko aliko
Mtu anapoongea upuuzi,majibu yako Kwa huyo mtu yanaku reflect wewe ni mtu wa Aina gani..hapa umeonyesha kuwa wewe ni mtu wa hovyo zaidi kuliko mleta madaJiwe amewaloga kabisa nyie watu. Nadhani mfuateni muanzishe republic ya kwenu huko aliko
Inaonekana stress zinakusumbua mzee, jipige kifuani mara 3 sema "mimi ni fala" huyo jiwe anakutesa akiwa kaburini!! We jamaa ni mbumbumbu namba 3 wa JF.hakuna hoja hapo ni mawazo ya Mwendazeke unayaleta hapa, hakuna hoja. Mfuate Mwendazake , nasikia ameanzisgsha Republic yake inaitwa After -Tanzania.... kama ile ya trial of Christopher Okigbo ya After- Africa
Dr samahani naomba kuuliza, india chanjo zinatumika? Ufanisi wake upo vipi? Natanguliza shukrani kwako MD.Aisee..mbona huna akili kabisa..?? Yani ngumbaru kabisa..
Haujamwelewa kabisa WHO Director...
Nenda huko kalinde kaburi la Meko.
Hawa watu ni wapuuzi Sana,siasa imewapifua macho Hadi majibu Yao yanajaa mihemko..nimemjibu jibu km lakoUnakuta mpaka wakati unaandika hapa huna barakoa, huna wazo la kupata chanjo, huiamni chanjo! Hunawi mikono kwa maji tiririka, huna sanitizer, unagombea daladala au mwendokasi.. Unaingia sokini na kushika kila bidhaa na bado unayaponda mawazo ya JPM huku unayaishi. Covid 19 ni jinamizi... Linalo toka kwa maombi.
Hatujaifanya COVID-19 kuwa priority hapa Tanzania tena hapa kwetu ipo underrated kuliko kwingine kote duniani ila tunapenda kuchukua hatua stahiki kwani sisi sio kisiwa, hatuna utaalamu kuzidi mataifa mengine na pia tunaathirika kiuchumi kama hatufuati standard za kimataifa.Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.
"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.
“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."
Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko ethiopia.
MY TAKE
Kwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
Labda na sisi tuanze kuuana kama Tigray ili tuachane na covidi, maana Tigray wana magonjwa mengine kama yetu tu lakini ukiwa unawindwa kwa risasi ya moto hayo magonjwa yanakuwa hayana umuhimu.
Magonjwa yatakuua ndani ya siku kadhaa, wiki au miezi lakini risasi ya moto ni ndani ya sekunde kama sio dakika kadhaa.
Mimi nataka kuja kukulinda wewe ili usijidhuru kwa hasira za kuachiwa mimba na mekoAisee..mbona huna akili kabisa..?? Yani ngumbaru kabisa..
Haujamwelewa kabisa WHO Director...
Nenda huko kalinde kaburi la Meko.
Tedros katuonesha kuwa KUPANGA NI KUCHAGUA mjomba
Watu wanaokufa kwa Malaria nchi ni wengi zaidi ya Covid-19, basi tuwe tunatembea ndani ya vyandarua usiku pia waweke curfew usiku watu wasitoke ili wasife na Malaria, hizi ndio akili za SSH.
Mwenyekiti wako wa CCM pamoja na genge lote lililomzunguka ( Kikwete et al) watakupa jibu sahihiKwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
Ameipa kipaumbele malnitrituon zaidi ya covid 19.Anamaanisha kwamba kutokana na mgogoro wa vita huko Tigray hakuna yeyote anayeiweka COVID-19 kama kipaumbele ili kulinda afya zao. Watu wako busy na vita.
Kwa mantiki ukiachana na COVID-19 watu wa Tigray wanakufa kwa pia kwa vitu vingine kama vita.
Nani ameipa ?Ameipa kipaumbele malnitrituon zaidi ya covid 19.
meaning we can suspend harakati za covid 19 if we have important priorities to deal with
Hivi kwanini mnalazimisha Jiwe kafa na corona mbona hamumtaji Maalim seif aliyejitangaza ana corona na akafa? Maalim Seifu alijitangaza kabisa kuwa anauguwa corona na hakupona akafariki ila hatuoni kuzungumziwa matokeo yake inalazimishwa Magufuli kuwa ndio kafa kwa corona kisa alikuwa anaonekana anaidharau corona, ni sababu ya isiyoendana kabisa na sayansi kwamba et ukidharau corona basi utakufa na corona.Ndiyo hivyo, na sisi tumechagua kupambana na Corona iliyotuondolea Mh. Jiwe!