Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu jadili hoja iloyopo mezani .wewe umelogwa na nani?
Hukuelewa.Usiwe mvivu nenda kaisome detailed news mimi nimekuletea tip.
Covid ni ugonjwa wa kimataifa. Ukiudharau na kuutenga dunia itakutenga. Je tunaweza kumudu? Wenzetu wanaotaka kwenda hija wanaambiwa bila chajo wasiende.Nimejaribu kuifikiri na kuichambua kauli iliyotolewa na WHO Director General sijafika mwisho ila ni kauli inayofikirisha sana.
"COVID-19 not a priority: COVID-19 does not register as a priority for the millions of people affected by the conflict because of the myriad other threats they face, according to Tedros.
“It's not even their concern,” he said. “The chance of dying from all the issues… is really high. Compared to that, COVID is nothing."
Kauli hii ameitoa kwenye maelezo yake akiingolea jimbo lenye mgogoro la Tigrey huko ethiopia.
MY TAKE
Kwa nini watanzania tujilazimishe kuifanya Covid 19 a priority wakati tuna magonjwa yanayotumaliza sana?
fala mama yako hawala yangu kumkimbia baba yakoInaonekana stress zinakusumbua mzee, jipige kifuani mara 3 sema "mimi ni fala" huyo jiwe anakutesa akiwa kaburini!! We jamaa ni mbumbumbu namba 3 wa JF.
Sent from my Android using JamiiForums mobile app
hovyo mama yakoMtu anapoongea upuuzi,majibu yako Kwa huyo mtu yanaku reflect wewe ni mtu wa Aina gani..hapa umeonyesha kuwa wewe ni mtu wa hovyo zaidi kuliko mleta mada
Mwenye hekima,hujibu Kwa hekima,mpumbavu hutoa majibu km yako..sorry km nimekukwaza
wamfuate waanzishe Republic ya kwao n watu hao uliowaleta,asante sana.Jamhuri ya watu wa kuzimu!?[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2984]![]()
Muulize huyo aliyekuzaa kama nina mihemko ananijua fikaSasa jiwe amehusikaje kwenye hilo bandiko?Punguza mihemko😎
Unadhani mahospitalini hatuna wenzetu ambao walimhudumia? Nadhani unanipataHivi kwanini mnalazimisha Jiwe kafa na corona mbona hamumtaji Maalim seif aliyejitangaza ana corona na akafa? Maalim Seifu alijitangaza kabisa kuwa anauguwa corona na hakupona akafariki ila hatuoni kuzungumziwa matokeo yake inalazimishwa Magufuli kuwa ndio kafa kwa corona kisa alikuwa anaonekana anaidharau corona, ni sababu ya isiyoendana kabisa na sayansi kwamba et ukidharau corona basi utakufa na corona.
Ni kweli hatuna utaalamu kama hayo mataifa mengine na sisi sio kisiwa ila tunayoyafanya hayatoi matokeo sawa wataalamu wanavyotuambia, yani wenzetu wamechukua hatua za kukabiliana na huu ugonjwa ambazo zinajulikana ili kuzuia athari mbaya za huu ugonjwa ila sisi hatujafuata hatua kama walizochukua wenzetu tunaishi kama kisiwa hivyo kitaalamu kabisa ilitakiwa kuwe na hali mbaya kabisa ya huu ugonjwa kitu ambacho wenzetu wanakizuia. Ila kinachotekea ni kwamba hiyo hali mbaya tunaishuhudia tu kwa wenzetu tunasikia wana uhitaji mkubwa wa mashine za kusaidia kupumua na mambo kadha wa kadha vitu ambavyo hatuvioni huku kwetu, kiuhalisia hali iko hivyo na ambavyo ni kinyume na wenzetu wataalamu wanavyotueleza.Hatujaifanya COVID-19 kuwa priority hapa Tanzania tena hapa kwetu ipo underrated kuliko kwingine kote duniani ila tunapenda kuchukua hatua stahiki kwani sisi sio kisiwa, hatuna utaalamu kuzidi mataifa mengine na pia tunaathirika kiuchumi kama hatufuati standard za kimataifa.
Walimhudumia nani Maalim seif au huyo Magufuli?Unadhani mahospitalini hatuna wenzetu ambao walimhudumia? Nadhani unanipata
Watu wengine unaweza hata kuwatukana. Ikitokea Malaria na kipindupindu hatua zinazochukuliwa sawa? Malaria haiambukizi mtu kwa mtu huu ni ugonjwa pandemic unasambaa dunia nzima kwa wepesi ingekuwa corona iko nchi mmoja tu hata kama unauwa sana ungechukuliwa tofauti kama njia za kusambaa zinazuilika. Ndio maana mfano kikitokea kipindupindu Mbeya wana isolate mbeya tu au wilaya moja tu corona ni tofauti kwanza dalili haziji mara moja unaweza kuwa na corona na usijue ukaambukiza tu kirahisi unasafiri haraka.Watu wanaokufa kwa Malaria nchi ni wengi zaidi ya Covid-19, basi tuwe tunatembea ndani ya vyandarua usiku pia waweke curfew usiku watu wasitoke ili wasife na Malaria, hizi ndio akili za SSH.
Covid 19 ilishawahi kutangazwa kuwa ipo nchini na kukawa na wagonjwa pamoja na vifo na takwimu za wakati ule zilikuwa zinaonesha maambukizi yanazidi, sasa kisayansi kama taifa tulifanya nini kupunguza hayo maambukizi hadi kufikia kujiona hatuna tatizo kubwa na hofu yetu iwe corona kutoka nje ya nchi yetu? na hata kama kweli ilipungua hata kama ni yenyewe tu hii mikusanyiko yetu isiyo na tahadhari mbona ni kama haina athari kwetu maana wenzetu sasa hivi ndio wanalegeza masharti baada ya hizo chanjo ila sisi ni kama tulishachanjwa toka zamani.Chanjo ni issue ya kiscience sio siasa za cospirancy theorem na propaganda..waliotengeneza chanjo wameitengeneza baada ya kufanya tafiti za kiscience ili kupambana na Tatizo lililopo..
Covid 19 ni ugonjwa unaosambaa kwa kasi mahala kwenye mzunguko mkubwa wa watu kwa maana ya kuingia na kutoka...inawezekana Tanzania ni nchi ambayo hili la Covid bado sio tatizo saana lakini tatizo lipo kwa wengine tena kubwa ambao hata wao mwanzoni walikuwa safe kama sisi.....Issue ya Covid 19 tutathibitisha tu tuko salama kama itakuwa imeisha duniani lakini kama bado ipo hatutakiwi kurelax zaidi ya kujilinda..
Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanatembea na kutembelewa mara kwa mara na watu wa mataifa mbalimbali, kwa sasa Covid 19 haijawaha tatizo kubwa kwetu kuliko hayo mengine lakini Covid 19 ni ugonjwa unaoweza kuja kwa kasi na kuwaacha na janga kubwa msipochukua hatua za tahadhari mapema...
Nasema uongo ndugu zangu?exactly ndicho alichomaanisha WHO Director.. huyu Mfuasi wa Jiwe haelewi lolote, akili iko kwa Jiwe
Mwanzo nilidhani umeteleza tu Kwa Ile comment,kumbe ndivyo ulivyo,haupo Sawa kichwani.hovyo mama yako
Kwani chanjo ukichanjwa si inazuia ukipata maambukizi usiumwe sana na kufa kwa maana ni kwa ajiri ya mtu binafsi sasa kusudio la ulazima wa kuchanjwa ili kwenda hijja hapo ni nini kiasi cha kuzuia kwa asiyechanjwa?Covid ni ugonjwa wa kimataifa. Ukiudharau na kuutenga dunia itakutenga. Je tunaweza kumudu? Wenzetu wanaotaka kwenda hija wanaambiwa bila chajo wasiende.