Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,469
- 2,086
Na mimi siwezi kujibu hilo swali lako bila utafiti na kibaya ile kamati ya corona haikufanya utafiti kujua hadi sasa tumeathirika kiasi gani toka tulipoanza kuidharau corona, kamati imekimbilia kutoa mapendekezo tu.
Wala sikuhitaji ujibu hilo swali. Nilieleza hilo swali ulilouliza kwa ujumbe wako wa kwanza linaweza kujibiwa kwa mtindo huo kisayansi.
Lakini, kwa mjibu wa topic ilikuwa ni kutafakari kama hili kwetu ni janga la kutiliwa maanani au la?