Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO


Tatizo ni pale tulipoamua kuficha taarifa za vifo halisi vya Covid, lakini hata kwa machache yanayojulikana:
1: Ni janga lipi limetuchukulia viongozi wa juu wa nchi ndani ya kipindi kifupi?

2: Ni janga lipi limeondoka na wanasayansi/wasomi andamizi ambao nchi iliwekeza kuwasomesha kwa kipindi kirefu na wakaondoka ghafla?

3: Ni janga lipi limeondoka na wananchi wa kawaida kwa wingi ndani ya kipindi kifupi?

4: Ni janga lipi hapa kwetu limetatiza uchumi wa nchi kama Covid ndani ya muda mfupi?
 
Hayo yametokea kwa sababu ya uwepo tu wa corona duniani au kwamba ni kwa sababu Tanzania hatukuchukua tahadhari?
 
Hayo yametokea kwa sababu ya uwepo tu wa corona duniani au kwamba ni kwa sababu Tanzania hatukuchukua tahadhari?

Unaweza kujibu hilo kama utakuwa na controlled studies mbili ya exposure while taking measures against and exposure without taking measures.

Suala hapa ni yaliyotokea yanatosha kulifanya janga hili kipaumbele kwa taifa letu au hapana?
 
Unaweza kujibu hilo kama utakuwa na controlled studies mbili ya exposure while taking measures against and exposure without taking measures.

Suala hapa ni yaliyotokea yanatosha kulifanya janga hili kipaumbele kwa taifa letu au hapana?
Unaniuliza swali ambalo linategemea na jibu kutoka kwenye swali nililokuuliza, kwa sababu kuna nchi ziliweka hili janga kuwa ni kipaumbele cha hali ya juu kabisa kwa kuweka hado lockdown kuonesha walikuwa serious lakini pia nao imewaathiri pakubwa vilevile na tunaambiwa kama wasingefanya hivyo hali ingekuwa mbaya zaidi ya hapo, sasa ndio maana nikauliza athari tulizopata sisi ndio kutokana na kutolipa kipaumbele janga hili au ni athari tu za corona kama ilivyo kwengine duniani?
 
Ndio maana tuliamua kununua ndege badala kuwawajengea wanafunzi wetu wa kike mabweni wasome kwa utulivu
Wanafunzi wa kike hawalindwi na mabweni wanalindwa na jamii iliyostaarabika.
 
Propaganda
 
Kuna video ilisambaa wazungu wanajadili jinsi yakupunguza watu duniani na target yao kubwa ikiwa ni afrika..
 
Sababu ni MADALALI wa chanjo, wanaleta njaa, serikali hainunui hizo chanjo moja kwa moja toka kwa wazalishaji, bali watatumia madalali, na hao ndio wanatumia rushwa kubwa kusukuma Covid19 ioneakne ni tatizo, wakati sisi hatuna hata habari
 

Nimeeleza wazi kuwa huwezi kujibu hilo swali kama hujafanya utafiti. Kama unaelewa aina ya utafiti nilioueleza huhitaji kurudia.

Hakuna anejua kama wao wasingechukua hatua hali ingekuwaje?
Nasi tungechukua hatia athari zingeishia wapi?

Wengine kupata athari kwa kiasi gani si sababu ya msingi yako wewe au nchi yako kutokuchua hatua. Tathimini kwako.

Suala ni kwa majanga ya nchini wetu, je hili ni dogo tulipuuze au tulitulie maanani kulingana na athari zake.

Maamuzi hayo ya taifa ndo yataenda kuhuisha au kutohuisha the THE NATION HEALTH ACT, 2009.

 
Na mimi siwezi kujibu hilo swali lako bila utafiti na kibaya ile kamati ya corona haikufanya utafiti kujua hadi sasa tumeathirika kiasi gani toka tulipoanza kuidharau corona, kamati imekimbilia kutoa mapendekezo tu.
 
Kwani chanjo ukichanjwa si inazuia ukipata maambukizi usiumwe sana na kufa kwa maana ni kwa ajiri ya mtu binafsi sasa kusudio la ulazima wa kuchanjwa ili kwenda hijja hapo ni nini kiasi cha kuzuia kwa asiyechanjwa?
Inazuia pia usiwe chanzo cha maambukizi kwa wengine.
 
Hebu jadili hoja iloyopo mezani .wewe umelogwa na nani?
We kweli jingalao kabisa, kama tuna magonjwa yanayotumaliza tuiache na COVID-19 nayo iongezee kwenye kutumaliza? Nani kakwambia COVID-19 ni priority kwa Tanzania? Kinachofanyika ni kuchukua tahadhari zote za kujikinga na maambukizi. Ni kweli mumfuate huku aliko.
 
🤣
 
Facts👍👍👊👊
 
Jiwe amewaloga kabisa nyie watu. Nadhani mfuateni muanzishe republic ya kwenu huko aliko
jadili hoja,inaonekana jiwe aliweka aliweka unforgettable mark kwako,ndio maana evry minute unaweweseka na jiwe.
 
Sababu ni MADALALI wa chanjo, wanaleta njaa, serikali hainunui hizo chanjo moja kwa moja toka kwa wazalishaji, bali watatumia madalali, na hao ndio wanatumia rushwa kubwa kusukuma Covid19 ioneakne ni tatizo, wakati sisi hatuna hata habari
Wewe jamaa ni kilaza first class. Kwahiyo tatizo ni chanjo, wazungu au madalali wa chanjo ?

Na kama tatizo ni chanjo, ni chanjo ipi, Astra Zeneca, Moderna, pfizer, za china au urusi ?
 
Tedros katuonesha kuwa KUPANGA NI KUCHAGUA mjomba
SSH,ajitafakari, kupoteza muda na covid,ambayo kimsingi Tanzania hiyo kitu ipo kimaigizo na figisu,au kujikuta na changamoto za watanzania.hiyo covid ni ya wazungu ,Nani anapinga!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…