Kauli ya Kufikirisha ya Dkt. Tedros Adhanom wa WHO

Na mimi siwezi kujibu hilo swali lako bila utafiti na kibaya ile kamati ya corona haikufanya utafiti kujua hadi sasa tumeathirika kiasi gani toka tulipoanza kuidharau corona, kamati imekimbilia kutoa mapendekezo tu.

Wala sikuhitaji ujibu hilo swali. Nilieleza hilo swali ulilouliza kwa ujumbe wako wa kwanza linaweza kujibiwa kwa mtindo huo kisayansi.

Lakini, kwa mjibu wa topic ilikuwa ni kutafakari kama hili kwetu ni janga la kutiliwa maanani au la?
 
Mwendazake ameshamaliza kitabu chake. Sasa hv ni zama mpya. Kila zama na priority zake. Si unaina hata maujenzi Chato yamesitishwa
 
Wala sikuhitaji ujibu hilo swali. Nilieleza hilo swali ulilouliza kwa ujumbe wako wa kwanza linaweza kujibiwa kwa mtindo huo kisayansi.

Lakini, kwa mjibu wa topic ilikuwa ni kutafakari kama hili kwetu ni janga la kutiliwa maanani au la?
Ndio maana nasema utafiti ndio ungetupa nafasi nzuri ya kuweza kujadili kwamba janga la kwetu ni la kutilia maanani au la kutotilia maanani, kwa sababu utafiti ndio ungetupa picha ya jinsi gani tumeathirika ndipo tuweze kutoa maoni kuwa hapo sasa tuchukulie maanani au ni kawaida tu tupotezee.
 
Wewe jamaa ni kilaza first class. Kwahiyo tatizo ni chanjo, wazungu au madalali wa chanjo ?

Na kama tatizo ni chanjo, ni chanjo ipi, Astra Zeneca, Moderna, pfizer, za china au urusi ?
Hakuna tatizo.
 
una taarifa au huna?
Taharuki ni janga pia
 
Bado kuna yasiyosubiri tafiti.
 
Uliwahi kuhoji kma vaccine inaweza punguza maambukizi. Ssa ndio nakuonyesha matokeo ya chanjo.

So kejeli zako vp?
Sikumbuki kuwahi kuhoji ufanisi wa hizo chanjo labda unikumbushe maana mie huwa hata sizitilii maanani kabisa hizo chanjo, hata hapa bongo mnasema maambukizi hupanda na kushuka na hapo bila chanjo sasa hizo chanjo naonaga ni muendelezo tu ya siasa kwenye corona. Huko Saudia mwanzo waliruhusu watu waliyochanjwa tu ila sasa wameamua kuhiji wenyewe tu hata ukichanjwa hakuna kwenda.
 
Tanzania bila chanjo huo ugonjwa ukija na kusepa hauuwi??

Sasa nmekuletea Takwimu kwenye wilaya tu ambayo zaidi ya 90% wamechanjwa umeona vifo vimeisha na maambukizi yameisha!! Sasa unalinganishaje hizo cases mbili. Mind you Brazil bado Covid inaua kma kawa so unaweza ona wenye chanjo wameshinda.

Una maoni gani sasa?
 
Unataka nitoe maoni gani kwamba chanjo za China ndio bora?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…