Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mbona nyalandu hamtupi?
Tunangoja alete ulimbwende ndio atafurahi, yeye ni kiporo, akianza swagga zozote za kiccm hana bahati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nyalandu hamtupi?
CHADEMA iliwahi kuwa na Mtendaji wa kata? Akili za bata halafu unajifanywa genius!Mwaka kesho CHADEMA haitakuwa na Mbunge wala Diwani wala mtendaji wa kata hawatapata ruzuku kwa mantiki hiyo kitajifia na kufa kifo cha mende
Tunangoja alete ulimbwende ndio atafurahi, yeye ni kiporo, akianza swagga zozote za kiccm hana bahati.
Upuuzi kamq huu hata mama yako hakuungi mkono, kaa na wapumbavu wenzio mchekelee.KUNA KILA DALILI NA KUNA KILA AINA YA USHAHIDI KUWA MBOWE ANAHUSIKA KATIKA KUPIGWA RISASI KWA MH TUNDU LISU.SERIKALI KAMATENI MBOWE NA MUANZE KUMSHUGHULIKIA MARA MOJA BILA TASHWISHWI NA BILA KUPEPESA MACHO.
wewe sio chadema kabisa na hupendi Mbowe awe mwenyekiti...
Miaka 4 haimtoshi Sumaye kugombea uenyekiti? katiba ama?
Sumu haionjwi
Mimi ni shabiki wa kutupwa wa cdm, ila sikubaliani na kiongozi wa aina yoyote ile duniani kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi, iwe Mbowe au Magufuli, siwezi kukubali hilo na kwa utetezi wa aina yoyote ile.
Sumaye apewe uenyekiti wa cdm kwa kukaa miaka minne ndani ya cdm? Amefungua matawi mangapi toka amekuja cdm? Sasa kama mwanaume mzima anaambiwa sumu haionjwi kwa kuilamba anajitoa kwenye chama, je akipimwa mkojo na vyombo vya dola si atakimbia nchi kabisa? Arudi haraka ccm kwenye siasa za mbeleko.
Hahaha nyalandu ni Bilionea hamtamuweza
...kweli mkuu walipapatikia makapi ya ccm na kumtukana kamanda wa kweli dr slaa leo hii wanaona aibu mpaka mr ziro kachana mkeka 🤣🤣🤣🏃Chadema iliondokaga na Dr. Slaa, hii ya Mbowe genge tu, muulizeni je sasa anaelewa maana ya liability? Wanachama washabiki wake nadhani vichwa vyao vina matatizo
...leo umetema madini hongera sanaMimi ni shabiki wa kutupwa wa cdm, ila sikubaliani na kiongozi wa aina yoyote ile duniani kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi, iwe Mbowe au Magufuli, siwezi kukubali hilo na kwa utetezi wa aina yoyote ile.
Sumaye apewe uenyekiti wa cdm kwa kukaa miaka minne ndani ya cdm? Amefungua matawi mangapi toka amekuja cdm? Sasa kama mwanaume mzima anaambiwa sumu haionjwi kwa kuilamba anajitoa kwenye chama, je akipimwa mkojo na vyombo vya dola si atakimbia nchi kabisa? Arudi haraka ccm kwenye siasa za mbeleko.
hello kama mliweza kumpa lowassa dhamana kubwa nchini ya kugombeea Uraisi kwa tiketi ya CDM na alikuwa na miezi tu kwa nn sumaye asipewe nafasi ya kuwa mwenyekiti baada ya miaka minneMimi ni shabiki wa kutupwa wa cdm, ila sikubaliani na kiongozi wa aina yoyote ile duniani kukaa madarakani zaidi ya miaka kumi, iwe Mbowe au Magufuli, siwezi kukubali hilo na kwa utetezi wa aina yoyote ile.
Sumaye apewe uenyekiti wa cdm kwa kukaa miaka minne ndani ya cdm? Amefungua matawi mangapi toka amekuja cdm? Sasa kama mwanaume mzima anaambiwa sumu haionjwi kwa kuilamba anajitoa kwenye chama, je akipimwa mkojo na vyombo vya dola si atakimbia nchi kabisa? Arudi haraka ccm kwenye siasa za mbeleko.
Kwanini hampi Membe uenyekiti wa Ccm?hello kama mliweza kumpa lowassa dhamana kubwa nchini ya kugombeea Uraisi kwa tiketi ya CDM na alikuwa na miezi tu kwa nn sumaye asipewe nafasi ya kuwa mwenyekiti baada ya miaka minne
Sasa hapo unakosea utakuwa uongozi wa ukoo?Mafiosoo Mbowe Mwacheni huyo ni mtoto wa mjini
Sijaona wa kumrithi Mbowe labda yule Mtoto wake anayesoma Uingereza
be honest... wewe ni chadema...
Sio shabiki wala half mpenzi wa chadema.
Mawazo mazuri against Sumaye yaje kwenye chaguzi huru na sio kushughulikiwa.
hello kama mliweza kumpa lowassa dhamana kubwa nchini ya kugombeea Uraisi kwa tiketi ya CDM na alikuwa na miezi tu kwa nn sumaye asipewe nafasi ya kuwa mwenyekiti baada ya miaka minne
Saccos yake hiyo,akimaliza yeye Uenyekiti atafatia mwanae.
Mku kwani huko hamutaki nguvu mpya? Unahitajika ubunifu pia katika kuendesha chama hasa kile cha Demokrasia. Yani hapo ndo kuna transparency.Sasa mwanaume mzima unaitisha vyombo vya habari unasema umeambiwa sumu hailambwi kisha unajitoa kwenye chama, angeambiwa alambe sumu si angehama nchi? Mngemuuliza Sumaye toka amekwenda cdm amefungua matawi mangapi ya cdm mpaka autake uwenyekiti wa cdm? Mtu anasema hana tamaa ya madaraka lakini ndani ya miaka minne anataka uwenyekiti, kama sio wendawazimu ni nini?
Lile kosa alilolifanya Mbowe la kumpa nafasi yule mzee mwingine tapeli toka ccm, kugombea urais mpaka saa bado tuna hasira nalo, saa hii huu mzigo mwingine nao unataka uwenyekiti, ili iweje kwa mfano? Mnaweza kupiga propaganda mtakavyo lakini hakuna yoyote anayemtaka Sumaye. Sio wote tunamfagilia Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini hatuko tayari kuona takataka yoyote toka ccm inapewa madaraka makubwa ndani ya cdm. Wao warudi ccm wakaunge mkono juhudi za Magufuli.
Swali rahisi kabisa hata mshika mkia darasani ndo swali la kujidai nalo. Mwisho ilikuwa mwaka 2015 na kila baada ya miaka 10 anapatikana Mwenyekiti mpya kabisa tangu enzi ya Rais MwinyiKwa anayejua uchaguzi wa mwenyekiti wa CCM Taifa umefanyika lini mara ya mwisho hapa Tanzania atuambie.