Naledi
Member
- Sep 26, 2019
- 30
- 26
HajaombaKwanini hampi Membe uenyekiti wa Ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HajaombaKwanini hampi Membe uenyekiti wa Ccm?
Anautaka yule mzee jaribu umuonjeshe asaliHajaomba
Lile kosa alilolifanya Mbowe la kumpa nafasi yule mzee mwingine tapeli toka ccm,Sasa mwanaume mzima unaitisha vyombo vya habari unasema umeambiwa sumu hailambwi kisha unajitoa kwenye chama, angeambiwa alambe sumu si angehama nchi? Mngemuuliza Sumaye toka amekwenda cdm amefungua matawi mangapi ya cdm mpaka autake uwenyekiti wa cdm? Mtu anasema hana tamaa ya madaraka lakini ndani ya miaka minne anataka uwenyekiti, kama sio wendawazimu ni nini?
Lile kosa alilolifanya Mbowe la kumpa nafasi yule mzee mwingine tapeli toka ccm, kugombea urais mpaka saa bado tuna hasira nalo, saa hii huu mzigo mwingine nao unataka uwenyekiti, ili iweje kwa mfano? Mnaweza kupiga propaganda mtakavyo lakini hakuna yoyote anayemtaka Sumaye. Sio wote tunamfagilia Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini hatuko tayari kuona takataka yoyote toka ccm inapewa madaraka makubwa ndani ya cdm. Wao warudi ccm wakaunge mkono juhudi za Magufuli.
Mku kwani huko hamutaki nguvu mpya? Unahitajika ubunifu pia katika kuendesha chama hasa kile cha Demokrasia. Yani hapo ndo kuna transparency.
Lile kosa alilolifanya Mbowe la kumpa nafasi yule mzee mwingine tapeli toka ccm,
[emoji867]
Hili sio kosa kwa mbowe ni biashara yake hiyo unadhani aillingia bure alishavutwa mpunga wa kutosha maana ya mbowe mtoto wa mjini ndo hii
Na mtaishia kuwa wapinza daima kwa upumbavu wenu. Uchaguzi wa mwakani mkipata hata viti vitano nahama nchi.Sasa mwanaume mzima unaitisha vyombo vya habari unasema umeambiwa sumu hailambwi kisha unajitoa kwenye chama, angeambiwa alambe sumu si angehama nchi? Mngemuuliza Sumaye toka amekwenda cdm amefungua matawi mangapi ya cdm mpaka autake uwenyekiti wa cdm? Mtu anasema hana tamaa ya madaraka lakini ndani ya miaka minne anataka uwenyekiti, kama sio wendawazimu ni nini?
Lile kosa alilolifanya Mbowe la kumpa nafasi yule mzee mwingine tapeli toka ccm, kugombea urais mpaka saa bado tuna hasira nalo, saa hii huu mzigo mwingine nao unataka uwenyekiti, ili iweje kwa mfano? Mnaweza kupiga propaganda mtakavyo lakini hakuna yoyote anayemtaka Sumaye. Sio wote tunamfagilia Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm, lakini hatuko tayari kuona takataka yoyote toka ccm inapewa madaraka makubwa ndani ya cdm. Wao warudi ccm wakaunge mkono juhudi za Magufuli.
Kwahiyo waliobaki wanasiasa wanataka nini?Wanasiasa wafia nchi walishatoweka kwenye mgongo wa dunia
Umeongea points lkn misukule ya Mbowe haikawii kupingaMwaka kesho CHADEMA haitakuwa na Mbunge wala Diwani wala mtendaji wa kata hawatapata ruzuku kwa mantiki hiyo kitajifia na kufa kifo cha mende
Mwanae atakuta hawana hata mwenyekiti wa kitongoji kitakuwa kimebaki kama cha UDP kilivyo sasaSaccos yake hiyo,akimaliza yeye Uenyekiti atafatia mwanae.
Mku viti vitano navyo lazima watwambie watatufanyia nini sisi wananchi wa kawaida huko vijijini. Wakija na ahadi za kutaka eti tuwape wapiganie Katiba mpya mara eti Tume huru ya Uchaguzi hata hivyo viti 5 vitapatikana kwa MBINDE. Waje na sera zinazosomeka kama zamani 2015 hoja nzito nzito ndo maana hata hizo kura 6 million zilipatikana na wabunge kibao wakaongezeka kwa upinzani. Lazima 2020 waje kimukakati.Na mtaishia kuwa wapinza daima kwa upumbavu wenu. Uchaguzi wa mwakani mkipata hata viti vitano nahama nchi.
...kwaiyo kosa mmekitambua baada ya kuleta makapi yakavuruga chama au basi kama mnakili kosa muombeni Dr slaa na wapenda mabadiliko wa kweli kama sisi samahani kwa kutuletea oil chafu 2015Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa.
Na mtaishia kuwa wapinza daima kwa upumbavu wenu. Uchaguzi wa mwakani mkipata hata viti vitano nahama nchi.
...kwaiyo kosa mmekitambua baada ya kuleta makapi yakavuruga chama au basi kama mnakili kosa muombeni Dr slaa na wapenda mabadiliko wa kweli kama sisi samahani kwa kutuletea oil chafu 2015
Kawaachia Saccos yenu,kwa hali hii hamtakaa mshinde Urais. Be warned,mwakani hampati mbunge hata mmoja. Ruzuku bye bye.Ni kweli, hata mjukuu wake ni shega tu, lakini Sumaye atasubiri sana.
Kawaachia Saccos yenu,kwa hali hii hamtakaa mshinde Urais. Be warned,mwakani hampati mbunge hata mmoja. Ruzuku bye bye.
Ndio maana napata wakati mgumu kuamini maneno ya Sumaye,Mbowe na genge lake wameicheza vibaya hii episode. Logically wanachama wapiga kura kwa akili ya kawaida sana ingekuwa ngumu kumchagua Sumaye kuwa Mwenyekiti. Kwao huyu bado ana chembechembe za CCM, kakulia huko, kawa PM kwa 10 years na bado analindwa na TISS ambao kimsingi ni wanachama hai wa CCM
Ingekuwa labda Mbowe anapambana na Sugu au Mnyika au Heche (wanaoaminika kuwa CHADEMA asili), hapo hofu ingekuw justified. Sasa kwa ujuha wa wanachama na wapambe wa Mbowe ambao wanaamini eti kuonyesha nia ya kumchallenge Mwamba wao ni kosa la jinai,ni kama wamehalarisha huo umangi na unkurunzinza wa Mbowe. Wangeacha fitna na vitisho vya wazi ili mzee aingie kwenye barrot na kupigwa fairly
Hahaha alitaka ashinde bila kupingwa CHADEMA?sumu...sumu... sumu
Hahaha alitaka ashinde bila kupingwa CHADEMA?