Kauli ya kuonja sumu kwa ulimi ni zaidi ya udikteta


Sina tatizo na utetezi wako maana umeshiba utetezi wenye mashiko, ila mimi sijawahi kuamini kwenye uwezo wa mtu kukaa madarakani zaidi ya miaka 10 madarakani. Hivi akifa leo ndio chama basi? Siamini katika uimara wa mtu, bali naamini katika uimara wa taasisi.
 
Mleta mada uliisikia hiyo kauli ikitolewa na Mbowe au umeichukua mdomoni mwa Sumaye?
Ni vyema ukajiridhisha kuliko kuandika kiushabiki kama unavyofanya? Anyway huenda ndio akili fupi za kiushabiki zinakutuma hivyo!
 
Wanasiasa hawana tofauti sio chadema ,ccm au ACT .. wote ni wachumia tumbo tu..
Kama huna unachogain kwenye siasa ni bora uende kwenye uzi wa kula tunda kimasihara kuliko ushabiki maandazi wa siasa za bongo.
Kabisa, wanajitutumua ni magwiji wa demokrasia kumbe nao ni mzao ule ule wa mama Afrika, nadhani tuwe na mfumo wetu wa kidemokrasia uliozaliwa kwenye mazingira yetu. Afadhali kidooogo ndani ya CCM kuna heshima ya kupokezana kijiti cha uongozi ndani ya chama...CDM sijaona hata chembe ya wanayoitaja ama kuitekeleza inayoitwa demokrasia
 
Huu ndio ukweli mchungu ambao wapinzani hawataki kuusikia...
Hata kama jambo la uenyekiti wa chama ni internal affairs..lakini chama kinachojinadi kinafuata demokrasia inabidi kiwe cha mfano...
 

Kosa halifutwi kwa kutaja kosa la mwingine; kubali kwanza ugonjwa uliopo ndani ya chama chako;

Listen your opponents' logic to understand not to reply
 
then unakanusha mfano wako wa shetani ulimaanisha ccm... see tricky trucky[emoji1787][emoji1787]
Tafuta popote nilipowahi kutoa utetezi kwamba cdm wakifanya kosa ni sawa kisa ccm pia hufanya kosa kama hilo. Huwa sitoagi utetezi wa kidhaifu hivyo. You are out of context sir.
 
Chadema ni genge la wakora,wakuogopwa kama ugonjwa wa ukoma,RIP Chacha Wangwe
 
Bwana Mbowe aliongea katika mkutano wa Chadema wa Kanda ya Kaskazini kuwa haoni mtu wa kumuachia chama kwa kuwa kiti cha uenyekiti wa Chadema Taifa ni sumu, haipaswi kuonjwa. Nimetafakari sana juu ya kauli yake ambayo pia imemtia hofu Sumaye na kuamua kujiondoa Chadema. Najaribu kujiuliza, kama Mbowe anaona uenyekiti wa chama chake tu ni sumu haupaswi kuonjwa, vipi kuhusu Urais wa nchi?
 
Vyama vya upinzani ni kwa ajili ya kuichangamsha ccm isilale

Na sio kuongoza Nchi hiyo haitatokea
 
Dalili ni kwamba akiwa rais atajimilikisha kiti
 
Chadema ni kibubu cha kudunduliza pesa za ruzuku na makato ya wabunge kwaajiri ya mbowe anae bisha aje hapa
 
KUNA KILA DALILI NA KUNA KILA AINA YA USHAHIDI KUWA MBOWE ANAHUSIKA KATIKA KUPIGWA RISASI KWA MH TUNDU LISU.SERIKALI KAMATENI MBOWE NA MUANZE KUMSHUGHULIKIA MARA MOJA BILA TASHWISHWI NA BILA KUPEPESA MACHO.
K
 
Hakuna vyama vingi Tanzania kuvikubali ilikuwa in chenga ya mwili dhidi ya mabeberu. Ingawa watu wengi walipiga kura ya kuvikataa
Yap
 
Suala sio Sumaye, kama jamaa anatema sumu ni hatarr kwa kila mwenye mawazo ya kutaka u'enyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…