Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

Wew unajidai una akili kuliko God bless. Watanzania asilimia ngapi ni wachezaji?.vip uchumi wa ulaya na China.
 
Wew unajidai una akili kuliko God bless. Watanzania asilimia ngapi ni wachezaji?.vip uchumi wa ulaya na China.
Ni kweli ninazo akili kumzidi Lema kwa kweli ndio maana sio mropokaji kama yeye.
 
Limekuza hadhi ya Tanzania na michezo kwa ujumla. Serikali ya awamu ya sita imefanikisha timu zetu kupata hamasa na kufanya vizuri kimataifa.
Mshua GSM na Moh ndio waliofanya tulipende soka kwa uwekezaji wao walioufanya.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Mwizi mstaafu wa magari hawezi kuongea jambo lolote la kusaidia jamii zaidi ya kuropoka. LEMA APUUZWE. Elimu yake ni duni mno hawezi elewa umuhimu wa michezo kwa nchi.
 
Limekuza hadhi ya Tanzania na michezo kwa ujumla. Serikali ya awamu ya sita imefanikisha timu zetu kupata hamasa na kufanya vizuri kimataifa.

..miaka 63 tangu Uhuru tumeshinda mashindano gani yenye hadhi ktk mpira wa miguu?

..ligi kuu yetu imejaa wachezaji toka nje, kama ambavyo Wachina wameanza kuvamia ajira za wazawa.
 
Amechanganyikiwa. Yeye ana shida lakini sisi hatuna shida kabisa. Anataka sisi sote tutumie macho yake kuona na kichwa chake kufikiri. Haiwezekani atushirikishe kwwnye ugonvi wake.
 
Priority ya kwanza kwa kijana inatakiwa iwe FUTURE YAKE na si kumfanya mjinga mjinga. Lema yupo sahihi - vijana karibia 90% age 18 - 35 hawana dira wala mwelekeo.
 
Priority ya kwanza kwa kijana inatakiwa iwe FUTURE YAKE na si kumfanya mjinga mjinga. Lema yupo sahihi - vijana karibia 90% age 18 - 35 hawana dira wala mwelekeo.
Kama yeye hapendi mpira basi aache wanaopenda. Hizo anazosema watu ndio ajira zao, sasa timu zisipo kuwepo akina Nkane watapata wapi fedha?
 
Wew unajidai una akili kuliko God bless. Watanzania asilimia ngapi ni wachezaji?.vip uchumi wa ulaya na China.
Huyo ni chawa na hajui anachotaka! Huu ujinga wa Simba na Yanga upo mpaka bungeni for what? Ushawahi kusikia bunge la Uingereza waziri analeta utani wa Man United na Liverpool?
Akina Mwigulu wanaleta utani wa Simba na Yanga siku ya kusoma bajeti na Wabongo walivyo vilaza wanakalia kujadili utani wake badala ya kushughulika na alichowasilisha!
 
Huyo mshamba mvuta bangi wa kichaga hajui kuwa hizo timu ndio zilishiriki ktk harakati za kudai uhuru? Hajawahi kuwa na akili huyo chokoraa
 
Kama yeye hapendi mpira basi aache wanaopenda. Hizo anazosema watu ndio ajira zao, sasa timu zisipo kuwepo akina Nkane watapata wapi fedha?
Hapo wewe ulipo Simba na Yanga ilishakuingizia shillings ngapi?
Faida ya michezo ni kwa wachezaji,mwekezaji,watu wengi hall za kuonesha michezo na wenye maduka ya jezi!
Je ulishajiuliza ni wangapi hapo wako kwenye hiyo chain?
Tusema laki 100,000 kati ya mamilioni ya vijana wanaohitaji ajira na kutengenezewa mazingira bora kwa hapo baadae!
Michezo ni mizuri ila kutumia Simba na Yanga kuwadanya watu mazombi ili wabaki hawajui la kufanya na kuona kubishania Simba na Yanga ndo kutafanya maisha yao kuwa bora ni ujinga mkubwa!
 
Huyo mshamba mvuta bangi wa kichaga hajui kuwa hizo timu ndio zilishiriki ktk harakati za kudai uhuru? Hajawahi kuwa na akili huyo chokoraa
Hizo zama zilishapita sasa zitumike kukomboa fikra na kuwafanya vijana kuwa na maisha na utambuzi wa mambo!
Lema kaonesha kauli hiyo si kwa ajili ya kuifuta Simba na Yanga kabisa ni kuifuta katika mawazo kama haya ya leo ya ubishani na upumbavu huku mtaani!
 
Zombie km wewe asiyeelewa umuhimu wa michezo hakuna wa kukuelimisha hp duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…