Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

Kauli ya Lema yaidhihirisha CHADEMA haina ajenda kwa vijana na michezo

Hizo zama zilishapita sasa zitumike kukomboa fikra na kuwafanya vijana kuwa na maisha na utambuzi wa mambo!
Lema kaonesha kauli hiyo si kwa ajili ya kuifuta Simba na Yanga kabisa ni kuifuta katika mawazo kama haya ya leo ya ubishani na upumbavu huku mtaani!
Kwasababu hawawasapoti nyie nyumbu. Km siasa hamuiwezi acheni
 
Sasa nyumbu km wewe utaelewa nini
Kwa hiyo unaamini Simba na Yanga waendelea kushabikia na kubishana ndo kutakomboa taifa hili kiuchumi na kifokra?
Taja nchi hata moja ambayo imetumia michezo pekee na kupiga hatua kimaendeleo?
Maendeleo ni jamii kuwa na maarifa na utambuzi wa mambo kwa maana ya watu kuwa na uwezo wa kuzalisha na kutoa huduma(productions and Services) tofauti na hapo ni makelele tu kama mataahira!
 
Zombie km wewe asiyeelewa umuhimu wa michezo hakuna wa kukuelimisha hp duniani.
Wewe ****** michezo sio Simba na Yanga tu!
CCM mnatumia Simba na Yanga kulaghai raia ili wabaki kama mazombi!
Kuna michezo kibao kama kuogelelea ukizongatia Tanzania tuma water bodies kila mahali,Riadha,tennis,volleyball nk
Mbona mmebaki kujificha kwenye kichaka cha Simba na Yanga? Ina maana Simba na Yanga watu wote wana michezo watanufaika kupitia timu hizo mbili tu?
Tanua ubongo uondoe giza chawa wewe!
 
Kwasababu hawawasapoti nyie nyumbu. Km siasa hamuiwezi acheni
Nyinyi ndo mnaweza siasa? Unaongea kama huna ubongo vile!
Nini kimewafanya kuzuia uchaguzi huru? Mpo mnatapatapa tu bila kuwa na aibu!
Mzee Wasira anazungumzia Amani badala ya Haki huku akitoa vitisho kwa wananchi kana kwamba kuna amani ya kweli hapa nchini!
Wekeni meza ya uchaguzi kwa usawa tuone kweli kama nyinyi mna uwezo wa kisiasa au mmechokwa!
 
..miaka 63 tangu Uhuru tumeshinda mashindano gani yenye hadhi ktk mpira wa miguu?

..ligi kuu yetu imejaa wachezaji toka nje, kama ambavyo Wachina wameanza kuvamia ajira za wazawa.
Huyo hawezi kuliona hilo hata hiyo ligi inayohusisha Simba na Yanga ni swala la muda tu Mchina ndo atakuwa mzamini Mkuu ili Wabongo wabaki na kazi yao ya kupiga makelele kama wajinga!
Saizi wanatrade Kariakoo,Kwenye madini,Kwenye ufugaji wa samaki ambao wazawa wanaweza kufanya,Upande wa pili CCM wanaimba Mama kafungua nchi! I think you can see the level of stupidity of these people!
 
It's well known they are government propaganda tools..
Futa zote
 
Hizi timu mbili ni zaidi ya vyama vya siasa.
Hivyo watu wanachukua muda mwingi kujadili mambo ya Yanga na Simba na kusahau mambo kuntu.
Ilo sio swala la simba na yanga kwasababu hizo timu zilikuwepo kabla ya hivyo vyama na maisha yalikuwepo.Uwezo wetu wakufikiria uko limited kwahiyo kushindwa kwetu kunatokana na uwezo wetu mdogo wakufiki na kutenda tusisingizie simba na yanga.
 
Limekuza hadhi ya Tanzania na michezo kwa ujumla. Serikali ya awamu ya sita imefanikisha timu zetu kupata hamasa na kufanya vizuri kimataifa.
Huu ndo upuuzi mnawalisha watanzania wenye unyonge wa kifikra na mnawawin kweli!

Unajua hivyo vilabu vinavyosajili wachezaji wenye vipaji vikubwa kutoka nje siku hizi na hao ndio wanaoviwezesha kufanya vizuri kimataifa?

Haya Taifa Stars hiyo hapo mbona hiyo serikali ya awamu hiyo haijaifanikishia hamasa ya kufanya vizuri kimataifa? Machawa acheni kuweka siasa kwenye mambo ya kitaalam.
 
Hizo agenda za michezo so far zimelisaidia nini tafifa hili na hao vijana kwa ujumla
Kua na huu utulivu ni mafanikio tosha.Kwasababu ziko nchi za afrika hazina simba na yanga ila hawajatuacha mbali kimaendeleo ukilinganisha na ukubwa wa hii nchi japo kuna mambo tumechelewa.labda kama unataka tuwe kama somalia.Mwenzako lema anapopakukimbilia sisi wengine tutakimbilia wapi.Siasa zetu zisituwashe tukatamani visivyotamanika kwasababu tu hatujawai kuishi tunayoyatamani.
 

Attachments

  • IMG-20241009-WA0013.jpg
    IMG-20241009-WA0013.jpg
    33.3 KB · Views: 17
Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo muhimu cha kuunganisha watu, kukuza afya, kuleta ajira na kuinua hadhi ya taifa kimataifa.

Umuhimu wa Michezo kwa Taifa
Michezo huleta umoja na mshikamano wa kitaifa – Timu kama Simba na Yanga zimekuwa zikiunganisha Watanzania wa kila rika, dini na itikadi za kisiasa. Michezo huleta watu pamoja kwa upendo na ushirikiano wa kweli bila kujali tofauti zao.

Ajira na fursa za kiuchumi – Sekta ya michezo imezalisha maelfu ya ajira, kutoka kwa wachezaji, makocha, waandishi wa habari, wauzaji wa bidhaa za michezo hadi wasambazaji wa huduma mbalimbali viwanjani.

Kuboresha afya za wananchi – Michezo ni njia mojawapo ya kuhamasisha maisha yenye afya bora, kuepuka magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari na shinikizo la damu.

Michezo huinua heshima ya nchi kimataifa – Timu zetu zinaposhiriki mashindano ya kimataifa kama Ligi ya Mabingwa Afrika au Kombe la Shirikisho, huipa Tanzania nafasi ya kutambulika duniani kote.

Jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika Kuinua Michezo
Tangu aingie madarakani, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kuikuza sekta ya michezo. Baadhi ya mafanikio yake ni pamoja na:

Kuweka mazingira wezeshi kwa vilabu kupitia usajili wa wachezaji bora, uboreshaji wa viwanja na usaidizi wa kiserikali.

Hamasa kubwa kwa timu za taifa na vilabu – Rais Samia amekuwa mstari wa mbele kupongeza, kutoa motisha, na kuhamasisha timu zetu kushinda. Mfano ni namna ambavyo amekuwa akihamasisha timu ya Taifa ya Wanawake na wanaume (Taifa Stars).

Kauli kama ya CHADEMA haitoi matumaini kwa wananchi
Kauli ya kusema Simba na Yanga zipotee ni mfano wa kukosa dira ya kuelewa wananchi wanahitaji nini. Watanzania wengi ni wapenda michezo, na hawatounga mkono chama ambacho hakiiheshimu au hakiungi mkono michezo ambayo imekuwa sehemu ya maisha yao. Ni wazi kwamba kujaribu kuondoa kile ambacho kinawapa furaha watu – kama michezo – ni kujaribu kuondoa uhai wa matumaini ya Watanzania.

Hitimisho
Michezo ni moyo wa jamii. Badala ya kuombea zipotee, viongozi wa kisiasa wanapaswa kuziunga mkono timu hizi, na hata kutumia michezo kama jukwaa la kuunganisha watu, kujenga amani na kuchochea maendeleo. Kama chama hakioni umuhimu wa michezo, basi hakiwezi kuungana na hisia za Watanzania walio wengi – na kwa hali hiyo, hakiwezi kupata ushindi wowote wa kweli wa kisiasa.

Watanzania wanapenda michezo – na chama chochote kinachodhihaki michezo kinajitenga na mioyo ya wananchi.

View attachment 3308299
Simba na yanga vina faida gani kama hakuna system nzuri ya maisha kwa vijana?
 
Mwenzako lema anapopakukimbilia sisi wengine tutakimbilia wapi.
Basi hakuna statement sisiem wanapenda kuisikia ikitoka kinywani mwa mtz 'mnyonge' kama hii, hasa ikitolewa 'kinyonge sana' kama ulivyoandika post yako nzima hapo.

Wakikusikia ile hujajiandaa ushavalishwa t-shirt na kofia bila hata kuelewa vimetoka wapi na vimeandaliwa saa ngapi
 
Hizi timu mbili ni zaidi ya vyama vya siasa.
Hivyo watu wanachukua muda mwingi kujadili mambo ya Yanga na Simba na kusahau mambo kuntu.
Waingereza wanapenda mpira tena kwa kupitiliza.
Sisi tunapenda pia Simba na Yanga hayo ni mapenzi hayafutiki wala hayachakachuliwi kama mambo ya wanasiasa asubuhi yuko NCCR jioni yupo Chadema,usiku anapiga hodi CCM.
Lema ameshindwa kuelewa hata katika vyama vya siasa watu wanafuata sera inayoeleweka sio sera za mafumbo fumbo na mitego.

Kiogozi wa Chadema no.1 anajinadi kwa kipeperusho cha bila mabadiliko hakutakuwepo uchaguzi kitaifa.
Mtu huyo huyo amemwandikia barua katibu mkuu kuwa anatia nia kuwania Uraisi wa Jamhuri ya Tanzania. Wakati bado reforms alizokuwa anapigania.Ndio uwenda wazimu au kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Hivi hizi ID mada inatoka mwengine anachangia hoja haraka yani kama mupo lumumba hapo mnajalibishana nani ya kwake inaingia kubwa kuliko kimba.Hapo ccm umoja wajinga
IMG_1141.jpeg
 
Kauli ya Mjumbe wa Kamati Kuu wa CHADEMA, Godbless Lema, ya kusema anaomba Mungu Simba na Yanga zipotee zisiwepo, ni kauli isiyoendana na hali halisi ya umuhimu wa michezo katika jamii ya Kitanzania na hata duniani kwa ujumla. Ni muhimu kuelewa kwamba michezo si burudani tu bali pia ni chombo muhimu cha kuunganisha watu, kukuza afya, kuleta ajira na kuinua hadhi ya taifa kimataifa.

Umuhimu wa Michezo kwa Taifa
Michezo huleta umoja na mshikamano wa kitaifa – Timu kama Simba na Yanga zimekuwa zikiunganisha Watanzania wa kila rika, dini na itikadi za kisiasa. Michezo huleta watu pamoja kwa upendo na ushirikiano wa kweli bila kujali tofauti zao.

Ajira na fursa za kiuchumi – Sekta ya michezo imezalisha maelfu ya ajira, kutoka kwa wachezaji, makocha, waandishi wa habari, wauzaji wa bidhaa za michezo hadi wasambazaji wa huduma mbalimbali viwanjani.

Kuboresha afya za wananchi – Michezo ni njia mojawapo ya kuhamasisha maisha yenye afya bora, kuepuka magonjwa yasiyoambukiza kama kisukari na shinikizo la damu.

Michezo huinua heshima ya nchi kimataifa – Timu zetu zinaposhiriki mashindano ya kimataifa kama Ligi ya Mabingwa Afrika au Kombe la Shirikisho, huipa Tanzania nafasi ya kutambulika duniani kote.

Jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika Kuinua Michezo
Tangu aingie madarakani, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa mstari wa mbele kuikuza sekta ya michezo. Baadhi ya mafanikio yake ni pamoja na:

Kuweka mazingira wezeshi kwa vilabu kupitia usajili wa wachezaji bora, uboreshaji wa viwanja na usaidizi wa kiserikali.

Hamasa kubwa kwa timu za taifa na vilabu – Rais Samia amekuwa mstari wa mbele kupongeza, kutoa motisha, na kuhamasisha timu zetu kushinda. Mfano ni namna ambavyo amekuwa akihamasisha timu ya Taifa ya Wanawake na wanaume (Taifa Stars).

Kauli kama ya CHADEMA haitoi matumaini kwa wananchi
Kauli ya kusema Simba na Yanga zipotee ni mfano wa kukosa dira ya kuelewa wananchi wanahitaji nini. Watanzania wengi ni wapenda michezo, na hawatounga mkono chama ambacho hakiiheshimu au hakiungi mkono michezo ambayo imekuwa sehemu ya maisha yao. Ni wazi kwamba kujaribu kuondoa kile ambacho kinawapa furaha watu – kama michezo – ni kujaribu kuondoa uhai wa matumaini ya Watanzania.

Hitimisho
Michezo ni moyo wa jamii. Badala ya kuombea zipotee, viongozi wa kisiasa wanapaswa kuziunga mkono timu hizi, na hata kutumia michezo kama jukwaa la kuunganisha watu, kujenga amani na kuchochea maendeleo. Kama chama hakioni umuhimu wa michezo, basi hakiwezi kuungana na hisia za Watanzania walio wengi – na kwa hali hiyo, hakiwezi kupata ushindi wowote wa kweli wa kisiasa.

Watanzania wanapenda michezo – na chama chochote kinachodhihaki michezo kinajitenga na mioyo ya wananchi.

View attachment 3308299
Tanzania kwanza, Simba na Yanga baadaye, bila Tanzania hakuna Simba wala Yanga, Makolo wa Utopolo.

Vv
 
Back
Top Bottom