Na wewe uko wapi? Unaweza kujitofautisha vp na Bashite?wew upo umejificha mahali kwenye kona flani unachungulia, roho inakuuma unalalamika na kunung'unika mwenyewe tu kwa uchunguuuu .
Utawehuka wew punguza makasiriko na chuki [emoji205]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe uko wapi? Unaweza kujitofautisha vp na Bashite?wew upo umejificha mahali kwenye kona flani unachungulia, roho inakuuma unalalamika na kunung'unika mwenyewe tu kwa uchunguuuu .
Utawehuka wew punguza makasiriko na chuki [emoji205]
Nothing can change the truth. Pata exposure uone kama kuna kiongozi wa watu wanaojitambua anaweza Kutoa kauli kama hizi. Labda mnatakiwa mbandikiwe artifial brains .jamii yetu imeoza na upumbavu na hatutoboiHivyo ndivyo ulivyomtafisiri MAKONDA,na unabaki kuwa mtazamo wako binafsi ngoja waje na wengine na tafsiri zao tutofautishe
🤣mie niko shamba porini ndraaaaaani ndraaaaaani huko Lakini jamaa yupo kwa wazazi na ni mtu mzima kabisa na mvi anamlalamikia mwanaume mwenzie 🐒Na wewe uko wapi? Unaweza kujitofautisha vp na Bashite?
Anayewateua.........."Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda"
Sawa mkuu, je wewe na Bashite mna tofauti yeyote au mko na akili sawa?🤣mie niko shamba porini ndraaaaaani ndraaaaaani huko Lakini jamaa yupo kwa wazazi na ni mtu mzima kabisa na mvi anamlalamikia mwanaume mwenzie 🐒
mkuu mbona unamaswali kama vile bado unaishi kwa wazizi 🤣Sawa mkuu, je wewe na Bashite mna tofauti yeyote au mko na akili sawa?
Mna nguvu zaidi ya polisi??Na hiko ndicho kinachotutafuna wananchi bila kuelewa kuwa wananchi tuna nguvu kuliko wanasiasa.
Watoe mtu Mirembe mara ngapi?Kuna siku CCM watatoa MTU Milembe wampe Uongozi Nyeti WA nchi! Hawa wanajiokoteaga Tu ilimradi ana maslahi kwao kwa wakati huo. Mfano mzuri ni suala la wakimbizi, wanawatumia kwenye deals zao na kuwazawadia Vyeo na kujisahau kuwa hizo nafasi ni nyeti.
Akili zikija kuwarudi wanakurupuka kulaumu wengine na kamwe hawawezi kuwa responsible
This time basi watatoa ambaye Hana hata fileWatoe mtu Mirembe mara ngapi?
Hujasikia Diallo alivyosema kwamba Magufuli alikuwa na file Mirembe?
Ukiona mwanaume ana makalio makubwa, basi uwe na hakika kuwa hana akili.Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.
That's true .Ukiona mwanaume ana makalio makubwa, basi uwe na hakika kuwa hana akili.
Kwani ukinijibu ndiyo au hapana si inakuwa imeisha hiyo, mimi kukaa kwa wazazi sioni kama ni tatizo lakomkuu mbona unamaswali kama vile bado unaishi kwa wazizi 🤣