Kauli ya Makonda imerejea kauli ya "Kila mbuzi hula urefu wa kamba yake"

wew upo umejificha mahali kwenye kona flani unachungulia, roho inakuuma unalalamika na kunung'unika mwenyewe tu kwa uchunguuuu .

Utawehuka wew punguza makasiriko na chuki [emoji205]
Na wewe uko wapi? Unaweza kujitofautisha vp na Bashite?
 
Hivyo ndivyo ulivyomtafisiri MAKONDA,na unabaki kuwa mtazamo wako binafsi ngoja waje na wengine na tafsiri zao tutofautishe
Nothing can change the truth. Pata exposure uone kama kuna kiongozi wa watu wanaojitambua anaweza Kutoa kauli kama hizi. Labda mnatakiwa mbandikiwe artifial brains .jamii yetu imeoza na upumbavu na hatutoboi
 
Na wewe uko wapi? Unaweza kujitofautisha vp na Bashite?
🤣mie niko shamba porini ndraaaaaani ndraaaaaani huko Lakini jamaa yupo kwa wazazi na ni mtu mzima kabisa na mvi anamlalamikia mwanaume mwenzie 🐒
 
🤣mie niko shamba porini ndraaaaaani ndraaaaaani huko Lakini jamaa yupo kwa wazazi na ni mtu mzima kabisa na mvi anamlalamikia mwanaume mwenzie 🐒
Sawa mkuu, je wewe na Bashite mna tofauti yeyote au mko na akili sawa?
 
Makonda kwa hoja hizi ni dhahiri pumzi ishakata kabla ya hatua yoyote ile
Your browser is not able to display this video.
 
Na hiko ndicho kinachotutafuna wananchi bila kuelewa kuwa wananchi tuna nguvu kuliko wanasiasa.
Mna nguvu zaidi ya polisi??
Mna nguvu zaidi ya pesa??

Ni ngumu mkuu, wakishindwa kuwanyoosha kipesa wanawanyoosha kwa mtutu labda msiuogope mtutu ndo mtatoboa.
 
Watoe mtu Mirembe mara ngapi?

Hujasikia Diallo alivyosema kwamba Magufuli alikuwa na file Mirembe?
 
Sheria ya Misitu na kanuni zake inaweka masharti kwamba lazima mtu akate kibali kabla ya kukata mkaa.

Wakala wa Misitu Tanzania yaani TFS ndiyo hutoa vibali ambavyo pamoja na mambo mengine, kwenye vibali hivi huandikwa jina la anayetaka kukata mkaa, namba ya gari, eneo mkaa utapotoka na unakokwenda.

Lengo kuu la kutoa vibali ni kulinda misitu.

Pia baadhi ya halmashauri zinakataza bodaboda zisibebe mkaa kwa sababu baadhi ya madereva hupita vichochoroni ili kukwepa kulipia vibali.

Kwa hiyo, gari za abiria haziruhusiwi kubeba mkaa kwa sababu kwanza hazina vigezo vya kupewa vibali vya kufanya hivyo, lakini pia ni hatari kubeba nishati ya mkaa na abiria ndani kwa sababu wakati mwingine mkaa hushika moto na kuweza kusababisha ajali ya moto.

Lengo la serikali ni zuri lakini sasa dah!
 
Umetolea mfano kuwa huwezi kumwona nurse akienda kununua dawa kwenye Pharmacy kisa ana deal na dawa tena ukakazia kuwa kila mtu anapata kwenye ofisi yake.
Ukiona mwanaume ana makalio makubwa, basi uwe na hakika kuwa hana akili.
 
kauli ya Makonda ina impact gani kwa jamii mpaka uilete hapa tuijadili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…