Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

Tulia wewe utopolo
Wivu utakuua wewe mataga
Mmenyimwa kulamba asali mnaonea wengine nongwa Sasa
Mpuuzi wewe tulia tuliii
 
Huyu ni 'Mfuko wa Shati' katika Vazi la Suti ya CCM.

Aache kutiatia huruma sikuhizi, tangu atoke gerezani na kwenda Ikulu amekua akinyong'onyea na kuongea kinyonge sana huku akitia huruma.

There's'something fishy' going on behind & under the curtains and carpet respectively.
 
Mbowe ni mwanasiasa makini sana. Amesoma hulka za watanzania na kuamua kuchukua njia sahihi zinazofaa ili kuendana nao ktk harakati zake za kulikomboa taifa hili.
 
Tulia wewe utopolo
Wivu utakuua wewe mataga
Mmenyimwa kulamba asali mnaonea wengine nongwa Sasa
Mpuuzi wewe tulia tuliii
Acha kuwa laini kama libamia
 
Nyakati hizi sio za kuvunjana miguu tena kisa wanasiasa. Hawatakuwepo wakati wewe umelazwa au familia yako ikiondokewa na mmoja wa wapendwa wenu.
 
Nyakati hizi sio za kuvunjana miguu tena kisa wanasiasa. Hawatakuwepo wakati wewe umelazwa au familia yako ikiondokewa na mmoja wa wapendwa wenu.
Wewe boya unajua maana haki?
 
Sikuwahi kuona hata MTU alienda kulala Segerea siku 1 kumsaidia Mbowe. SA wenzetu wanaweza. Acha afanye siasa za kistaarabu tunachoomba Mama aweke 'fair play'anaepata apate na anaekosa asubiri safari nyingine.
 
Mbowe kaongea Ukweli!
Hakuna wa kwenda road!
Pepo tunataka kufa hatutaki! Mtikila kahimiza mpaka kajifia hakuna action[emoji2957]
 
Wakuu nje ya mada hivi hiyo asali wanalamba wapi???
 
Ukweli mchungu,mtanzania kuingia barabarani kudai haki yake HAIWEZEKANI,Watanzania ni WAOGA
Ndiyo maana hiyo kazi ya kudai haki yetu tumemkabidhi Wakili wetu Mbowe ambae siyo muwoga alisimamie,na ndiyo maana tunamplipa Ruzuku! Sasa kwa nini tena atusumbuwe Wateja wake, apambane huko,kwani Ruzuku anatuitaga pia tugawane!!!?? Ebbo!!!! Sisi tunataka Katiba mpya tu,hiyo Asali anayoramba Sasa ita mcost pakubwa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…