Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

Vitisho vya polisi CCM ndio chanzo, maandamano yangeheshimiwa kama haki iliyopo kisheria pasingekuwepo na tatizo.

CCM wamefanikiwa kufanya kwenda kwenye maandamano ionekane unaenda kwenye uwanja wa vita, hii imesababishwa na uvunjifu wa sheria wa kila siku unaosimamiwa na serikali ya CCM.
 
Mbowe kaongea Ukweli!
Hakuna wa kwenda road!
Pepo tunataka kufa hatutaki! Mtikila kahimiza mpaka kajifia hakuna action[emoji2957]

Politicians are political entrepreneurs. Hicho ndicho ambacho kila mtu anapaswa kukitambua. Akilitambua hili hatatumika kama karai!
 
Back
Top Bottom