Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kwa hilo jina, nilidhani huenda unayo hekima japo kidogo.Rais wa nyumbu anakatwa mapema xana. Amini usiamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hilo jina, nilidhani huenda unayo hekima japo kidogo.Rais wa nyumbu anakatwa mapema xana. Amini usiamini
Anakatwa tarehe 25/8 na kesho yake watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na yeye atabaki na kesi zake kisutuObama alipokuja hapa baada ya kustaafu Watanzania wengi walijua ingawa wahusika walitaka iwe siri vivyo hivyo mtu mashughuri huwezi kumficha utafichika wewe ukijaribu. Mtu au watu wakitafuta makosa yoyote ya mtu yeyote kwa nia yoyote watayapata kwa njia mbalimbali. Mh. Lissu alikuwa mashughuri akiwa Mbunge kama Wabunge wengine, kilichompata kilimwongezea umashughuri, kukaa nje ya nchi miaka 3 kuliongeza umaarufu, kufukuzwa Ubunge na kumnyima haki zake kumeongeza mvuto, ujasiri wa kuamua kurudi kwenye pango la Simba na kutaka mnofu toka mdomo wa simba kumemfanya awe kipenzi cha wengi na muda mfupi wa kukamilisha matakwa ya Sheria asingepata wadhamini angekaa tu Singida. Utakuwa mjinga sana ukianza kucheza mchezo wowote kabla ya kipenga na kudai pointi.
Endeleeni kujiringanisha nae Sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona serikali ya jiwe imekiuka Katiba Mara kibao sembuse vijikanuni vya nec
Kama mbwembwe za meya jackob [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na huku majimboni wagombea tunao waona wakichukua fomu kwa mbwembwe na na mapikipiki na hij tunaihitaje
Mbona jambo lenyewe halina ugumu wa kitendawili cha ‘kuku na yai ni kipi kimetangulia’.Sasa utasemaje ni kufanya kampeni kama hujateuliwa na tume kuwa mgombea?
Kampeni ni kujinadi kwa namna yoyote ile mara utakapokuwa umepitishwa kuwa mgombea wa uchaguzi. Kabla ya hapo ni siasa tu. Na kila mgombea wa urais mwaka huu amezifanya katika mtindo tofauti. Na hilo limekuwa likifanyika toka mwaka 1995.
Fomu ya uchaguzi hauchukuliwi kimya kimya na wadhamini hawatafutwi kimya kimya vile vile.
Si mda wa kutishana, kila mtu atakufa tuTuandikie hapa unaishi mtaa gani na nyumba uliyopanga kama kweli una maanisha
Hekima Lisu anayo?Kwa hilo jina, nilidhani huenda unayo hekima japo kidogo.
Hekima IPI. Huyo Lissu wenu anayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkate tu kwani atakuwa wa kwanza, wako wapi wasomi wale wakina Chenge, Wasira, Mwakyembe na wapenzi wenu akina Makonda na wengine wengi wa Chama chenu itakuwa huyu wa upinzani? Hata hilo la kukatwa likitokea, ujumbe utakuwa umefika.Anakatwa tarehe 25/8 na kesho yake watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida na yeye atabaki na kesi zake kisutu
Inaweza kuwa hatari sana ?Tundu lissu, hajatumia busara kabisa katika hili, sitashangaa wala kusikitika endapo tume ikimuengua
Mtu yeyoye yule mwenye uelewa mdogo huamini kwamba vyombo ya dola vinanguvu kuliko wananchi.Hakuna mtu wa kuambana na polisi na jeshi. Msijidamganye
Tatizo ni kwamba kuna baadhi yetu tunachagua nini cha kukubaliana nacho na nini cha kukataa, hata kama kina ukweli ndani yake.Habari wadau,
Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi
Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form
Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?
Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia
Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?
Au wanajua walilo yatenda?
Tundu lissu, hajatumia busara kabisa katika hili, sitashangaa wala kusikitika endapo tume ikimuengua
Tundu lissu, hajatumia busara kabisa katika hili, sitashangaa wala kusikitika endapo tume ikimuengua
Walikuwa 200 na magufuli akawapigia simu kwamba amefurahisgwa na nyimbo zinamtukana lissu chadema na wapinzani naamini hajuna sheria ya kumuenguwa Lissu Tume sidhani wanaweze kujishusha hadhi kiasi hicho