Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

Naam n kweli yaan hizo taarifa sidiefu amezitoa tatizo wataenda kuzijadili kiupande upande.......

Hao wanyarwanda walivyojaa mpaka wengine wapo humo kwenye majeshi na wanavyojipenyeza kwa mgongo wa rushwa n hatariiii😂😂😂.

Kaka Yericko ukisoma kitabu cha oparesheni moja ya mosadi kuwatoa wayahudi wa ethiopia (red sea spies) unaweza pata mwangaza mapandikizi yanavyoweza kujipenyeza kwenye nchi na kwa kuiakisi tanzania unaweza waona kina bongo zozo,calito n.k sio wa kuaminiwa kizembe zembe.

Idara wanaleta uyuvisisiemu ngoja kitulambe sasa😂😂😂
 
Wakilishugulikia hilo nitawapa kongole ila wakiwa na hofu ya wanasiasa basi nchi itaendeleankuwa uchi na shamba la bibi.

Mkuu wa majeshi nakuunga mkono kwa maamuzi mnayoweza kuchukua dhidibya kuliokoa taifa letu Tanganyika, wanasiasa wanawatumia kwa maslai yao binafsi na siyo kwa mustakabali wa Taifa.

Simamieni mambo ya msingi yakiwemo hayo mliyofunguka leo mbele ya Presida SSH.

Ila ile kauli yake ya kuwa mkae tayari kwa kuwapa kichapo raia kwenye uchaguzinwa 2025 siwaungi mkono.
 
Yerikcko
Nakupa kongole kwenye hili andiko. Umeona mbali sana.
 
Kuna ka uteja flani kapo mahali fulani nyeti sana, kwa hiyo arosto ikipanda wanadungwa kasindano fulani, kisha wateja wanakua watiifu kwa kusahau pakusimamia. Enewei kama sijaeleweka, minnimeelewa.
 
2025 tumwachie CDF nchi angalau 5 yrs afanye usafi op tokomeza wahutu na watutsi serikalini.
 
ungependelea wamaanishe ustawi wa CHADEMA kua upinzani sio, right?🐒
ulitamani arlet ya raisi iwe ni kutoka madarakani sio, right? 🐒

so ulitaka waione chadema kama miungu watu sio, right?🐒
 
Hebu nambie ndugu yangu, wewe kusudio lako ni UJASUSI au THINK TANK?
 
Yaan, ulichoandika hakika hakieleweki kabisa. Bandari ya Bagamoyo ilizuiliwa,, kujengwa, ina uhusiano gani na watu wa, nje au majasusi. Mwinyi amejenga, viwanja na kuleta, maendeleo Zanzibar ina uhusiano upi na ujasusi ? Haueleweki kabisa unachoandika.
 
Zanzibar nao wanatunyonya, wanafanya miradi mingi sana , bara tunashanga shangaa , CCM inatuangusha kataa CCM na vyama vyote vya upinzani vinatuchelewesha
 
Unahangaika kuandika Nani atasoma na kujali kwa watawala wa CCM na serikali yao. Hapa wakijitahidi wataendelea kutumia vyombo vyote kudhibiti wapinzani hasa chadema ili wasiipe tabu CCM,Mambo ya uchungu na Tanzania unayajua wewe yerrico
 
Cheki hili papai
 
Hii mada imekuzidi uwezo wakufikiri.wenzako wanawaza nchi wewe unawaza ujinga.Angalia ujonga wako usirithishe watoto kwasababu wakati watakapokua wanateseka wewe utakua unaoza kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…