Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

Kauli ya Mkuu wa Majeshi kwa Rais ni ONYO, Turejee hii

Bahati mbaya huna akili,ufupi na urefu ni kipaji ?au ni maumbile? Jinga sana
Nimenukuu maneno ya Mwalimu sijajiandikia tatizo husomi between lines. Kwanini mnachagua ujinga kasome nimeandika as Per Mwalimu yeye ndio aliyesema sio mimi! Hiyo query nilikua nayo lakini kwenye academics tunaponukuu hatupaswi kubadili chochote mjinga mmoja wewe
 
Namshukuru Mungu amekusaidia kuuona ujinga wako mapema, na shukuru elimu yangu imekuzindua, siku nyingine usiwe unanukuu mambo ya hovyo, yanakuwa ya athibitisha jinsi ulivyo mtu wa hovyo sana, hovyo kabisa
 
Because you are a fool and once wise men said : dong argue with a fool because people will fail to distinguish between the two. Nakuacha ulivyo na jina lako linaloshabihiana na sehemu ya utupu wa mwamke
 
Achana naye huyo kenge wa uvccm, naye ni damu ya kagame
 
Wewe jamaa akili huna, wenzako wameongea hadharani ili kurahisisha operation. Kwa hiyo unadhani alichotaka kuongea CDF Mama alikuwa hakijui, waliompatia CDF hizo taarifa ndio wanampa Mama kila siku na ndio kazi yao. Ni vile tu wao hawatoki hadharani

Hata operation ya kuwaondoa wahamiaji haramu kipindi cha awanu ya 4 ilitangazwa pia, au na wewe unaamini yule mwanajeshi raia nchi ya jirani kipindi alitoroka kwa kuwa ilitangazwa ametoroka?
Mbona haueleweki ulichokiandika au umeukalia ?
 
Sisi Kwa level ya viongozi wa nchi hatuko serious vyombo vyetu vyote vimeelekezwa kuthibiti wazalendo
Yes viongozi hawapo serious, lakini kwa ukubwa wa nchi, mwingiliano wa watu kutoka mataifa mengine, uroho wa madaraka na uroho wa pesa wa viongozi wetu, ni nadra sana kujua nani ni mzalendo... Unaweza kuta hivyo vyama vya upinzani vyote vinaongozwa na raia ambao si waTanzania
 
Mbona haueleweki ulichokiandika au umeukalia ?
Heshima ni kitu cha bure kabisa, lakini pia usione ujanja kukaa na simu yako hakuna anayekujua ukaanza kutoa matusi. Hunijui sikujui ila heshima iwepo
 
Kumbe DPWorld wamekuja kimkakati zaidi???!!!!! Kuhakikisha bandari ya Bagamoyo haijengwi kama ilivyokusudiwa!!!!! ?? Ahaa
 
Kwenye umeme pia nilishawahi kuandika hapa kuwa tunahujumiwa tena na mataifa makubwa tu.

Hawataki kabisa tuwe na nishati ya kueleweka.

Bandari ya bagamoyo ingeua nchi na kuifutilia mbali kama angepewa mchina

Hayo mataifa walikuja kukataa umeme? Waliwaambia msijenge vyanzo vipya vya umeme wakati mnajua matumizi yanaongezeka kila mwaka? Mnahujumiwa kwa lipi hasa?

Ujinga ni kuamini unahujumiwa badala ya kuwa accountable na kukabili changamoto. Hizo ni sababu nyepesi sana kukwepa uwajibikaji.
 
Kama washakua raia by naturalization hakuna tija kuendelea kubring up ukimbizi wao kila dakika. Hao ni raia na wana haki zote kama watanzania wengine.

Unless wamepewa hizo nafasi ilhali hao watu sio raia kabisa that's a different case. Huo utakua ujinga na uzembe wa hali a juu wa mamlaka.

CDF kapuyanga kutoa hiyo statement. Ni muendelezo ule ule wa inferiority complex ya wabongo.
 
Hayo mataifa walikuja kukataa umeme? Waliwaambia msijenge vyanzo vipya vya umeme wakati mnajua matumizi yanaongezeka kila mwaka? Mnahujumiwa kwa lipi hasa?

Ujinga ni kuamini unahujumiwa badala ya kuwa accountable na kukabili changamoto. Hizo ni sababu nyepesi sana kukwepa uwajibikaji.
Kama vile kila kitu unasingizia umerogwa 😅😅
Hata ukichelewa kwenda kazini unasema hii sio bure !
 
Kama vile kila kitu unasingizia umerogwa 😅😅
Hata ukichelewa kwenda kazini unasema hii sio bure !

Ni ujinga wa hali ya juu na kukwepa uwajibikaji.

Hao hao wanaoamini kuna hujuma kwenye umeme leo akitoka waziri wa nishati akisema hakuna umeme nchini sababu ya hujuma za nje watakua wa kwanza kung'aka na kumtukana waziri.
 
Back
Top Bottom