Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

Hukumu na siku ya hukumu ipo inakuja na haiepukiki.

Lakini, safari ya kwenda Mbinguni hiyo haipo. Asikudanganye mtu, hakuna safari ya kwenda Mbinguni!

Kuhusu hukumu ya huyo rafiki yako ajuaye ni YEYE mwenye mamlaka ya kuhukumu.
 
kumbe una mtoto😲😲
 
Ndio maana kuna siku ya hukumu, yatapimwa mema yako na mabaya yako
 
Hukumu na siku ya hukumu ipo inakuja na haiepukiki.

Lakini, safari ya kwenda Mbinguni hiyo haipo. Asikudanganye mtu, hakuna safari ya kwenda Mbinguni!

Kuhusu hukumu ya huyo rafiki yako ajuaye ni YEYE mwenye mamlaka ya kuhukumu.
KAma hakuna safari tutahukumiwa tukiwa wapo
 
Pata picha ndio unaingia hapa halafu unasikia "komasava komasava" 🔥🔥🔥

Pengine hicho kitu alichokitamka ndio urithi pekee aliouacha
Cc: ephen_
 
Ameen mtumishi umenena vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…