Kauli ya mwisho ya marehemu rafiki yangu ilikuwa tusi la nguoni. Je, ataenda mbinguni?

Waliambiwa Wakolosai, huyo Mmakonde wa Nanjilinji vinamhusu nini?
 
Mithali 26
4 Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

Unataka nikujibu?
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ†—
 
Alizan utan , hiii migari mikubwa ya kuheshmu sana
 
Asante sana mkuu, lakini naomba nikuulize kitu, kama mimi na mwenza tumeamua kufurahisha miili yetu na wala hatuna mpango wa mahusiano na kila mmoja wetu analijua hilo sasa hapo dhambi inatoka wapi kwani hakuna anayemdanganya mwenzie, ni kama mtu anapoamua kutoka na malaya, malaya anataka pesa mnunuzi anataka pesa na kila mmoja anaridhia, je hapo pia pana dhambi?
 
Kumama#o ukute alikuwa analitukana lori na wala sio dereva wake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tunapoongelea dhambi tunaingia kwenye maadili (moral responsibility). Kuna kufanya jambo morally au immorally. Kufanya jambo morally ni pale unapofanya hilo jambo katika standards zinazokubalika na "jamii" (na hapa jamii inaweza kuwa religious au secular). Kufanya mambo immorally ni pale usipojali matokeo yake. Kwa mfano, ukitoka na malaya na akashika mimba sidhani kama utakubali kuwa baba mzazi wa mtoto atakayezaliwa na kumchukulia mzazi mwenza kama mke wako na mama wa mtoto huyo atakayezaliwa. Sidhani pia akipata shida kutokana na mahusiano yenu utakuwa pamoja naye beneti. Kama huwezi kufanya hivyo, tambua kwamba mahusiano yenu hayana uwajibikaji, bali kutumiana (exploiting each other). Na kufanya hivi hakuna kibali machoni pa Mungu na machoni pa jamii na hiyo ni dhambi. Kumbuka hapo juu (post ya awali) nilisema dhambi ina madhara kwa mhusika au kwa jamii.
 
Kwa Waislam, hukumu zetu ni Allah ajuwaye, hakuna binadam ajuwaye. Wajibu wetu ni kufanya toba.
Yesu asema, Mimi ndimi njia Kweli na Uzima.

Hakikisha TOBA inapita kwake.

Bila kufanya hivyo, mbingu mtaishia kuisikia tu ndugu Islams!!
 
(Soma ufunuo 21:8) watukanao wako kwenye kundi la " wachukizao", destiny Yao ni kuzimu kwenye gereza la muda, Kisha JEHANUM milele na milele.

Ikiwa hujampa Yesu maisha Yako fuatisha Sala hii,

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, ULEVI USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. AAMEN
 
Yesu asema, Mimi ndimi njia Kweli na Uzima.

Hakikisha TOBA inapita kwake.

Bila kufanya hivyo, mbingu mtaishia kuisikia tu ndugu Islams!!
Hajakosea, kabisa. Ukimfata yeye unakuwa Muislam, ndiyo kazi ya mitume yote, ndiyo njia zetu wao.

hayo mengine ni porojo zako gtu, yeye mwenyewe alikuwa anamuonba Mwenyezi Mungu wake na wako. Au umezisahau aya nikukumbushe?
 
Hajakosea, kabisa. Ukimfata yeye unakuwa Muislam, ndiyo kazi ya mitume yote, ndiyo njia zetu wao.

hayo mengine ni porojo zako gtu, yeye mwenyewe alikuwa anamuonba Mwenyezi Mungu wake na wako. Au umezisahau aya nikukumbushe?
Hizo uziitazo porojo achana nazo.

Yesu ndiye njia pekee kweli na Uzima, ukimwamini ,njia Yako kwenda Mbinguni ni guaranteed.

Yesu alikuja duniani Kwa Kila kiumbe, Islam, Pagani,Myunani, myahudi, mjaluo, mwarabu, msambaa, nk nk

Ubarikiwe πŸ™
 
Hukumu ni za Mungu
 
Hizo uziitazo porojo achana nazo.

Yesu ndiye njia pekee kweli na Uzima, usimwamini ,njia Yako kwenda Mbinguni ni guaranteed.

Yesu alikuja duniani Kwa Kila kiumbe, Islam, Pagani,Myunani, myahudi, mjaluo, mwarabu, msamaha, nk nk

Ubarikiwe πŸ™
Mbona unapingana na Yesu na Biblia?

Mathayo 15:24 Yesu akajibu, β€œSikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”


Tukuamini wewe au Yesu wa kwenye Biblia?
 
Hofu ndiyo mtaji mkubwa wa dini..
Mtoto mdogo tayari ana 'nightmares' badala ya kufurahia dunia na kuwa na natumaini na future.
 
Kwamba alisema kumam.ako...!
Manake angesema mkyu...nd u Ingeishia na u
 
Mbona unapingana na Yesu na Biblia?

Mathayo 15:24 Yesu akajibu, β€œSikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”


Tukuamini wewe au Yesu wa kwenye Biblia?
(Mark 16:15-16)

Yesu huyo huyo asema " Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri INJILI Kwa Kila kiumbe.

Aaminiye na kubatizwa ataokoka, asiyeamini atahukumiwa.

BIBLIA haijipingi, usikubali kuzeeka na Ujinga. Kibali kuomba ufundishwe Ili uelewe.

Yesu alikuja Kwa ajili ya Ulimwengu mzima.

Waislamu msipomwamini Yesu, njia pekee ya Uzima, mtaenda kuzimu, Kisha JEHANUM direct.

Aamen!!
 
Wacha porojo, nishike maneno yako niwache ya Biblia?

Tena hapo ndiyo umejibamiza kabisa.

Injili ipi hiyo manyoisambaza?


Hapo Sasa.
 
Mkuu mimi nadhani kusema dhambi moja kwa moja tunazungumzia swala la imani, na tukisema maadili hapo tunakuwa tunahusisha jamii. Mfano, kumtamani mwanamke ni dhambi (kwa wakristo) hata kama umemtamani kimya kimya pasi jamii kujua. So hapo hakuna madhara kwa jamii. Kutompisha mtu mzima sit akae siyo maadili mazuri kwa jamii lakini siyo dhambi. Sijui nimeeleweka
 
Hapa nimechukulia tusi lililotolewa na mtu ambaye aliona gari linaacha njia yake na kumfuata aliko na kisha kumhonga na kumuua. Mleta hii mada alisema alimsikia alitoa tusi ambalo after all limezoeleka sana na wakati mwingine hata kupoteza maana tusi na kuwa tu 'loose expression'. Mimi nikasema mlengwa hakusikia (hakuna madhara) na hata kuangalia tusi lenyewe huenda hata siyo tusi kwa maana halisi ya tusi. Tusi ni pale mtu anapolenga kuumiza feelings za mtu mwingine au kumshushia heshima. Unapomuumiza feelings za mtu au kumshushia heshima unamuathiri huyo mtu na kwa vile unafanya kwa makusudi (maana ungeweza kujizuia) unakuwa umetenda dhambi (umeharibu uhusiano wako na Mungu na mtu mwenzako).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…