Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?)
Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi?
Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au kikundi wanaweza amua Rais gani aishi na yupi afe. Na hili si jambo dogo hata kidogo. Tunaweza lichukulia kiwepesi ila ujumbe umefika kwa Sukuma Gang na wengineo.
Alichoniudhi ni kumtishia Rais. Kusema hutokufa.... Ni kumtishia Rais. Ni kauli ya mtu mwenye mamlaka ya kuamua mtu afe au asife.