Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Nenda Chato ukamalizane nae,hata ukikosa chakula mezani unarudi hapa kumbwatukia Marehemu.Wewe tangu uanze kumsafisha huyu jini umepata nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Chato ukamalizane nae,hata ukikosa chakula mezani unarudi hapa kumbwatukia Marehemu.Wewe tangu uanze kumsafisha huyu jini umepata nn?
Anaonenaka ni mtu mwenye gubu la hatari,kama ni mwanaume ni wale mkewe akiwa anapika chakula akipendacho siku hiyo atamsimanga mpaka chakula kikiiva wanamsusia anakula peke yake.Tangu uanze kumsakama JPM hadi sasa umefanikiwa nini kwenye maisha yako ndugu??
Lema kakimbia MadeniJiwe alikuwa mbaya kwa kila mtu.
Mzee Rugemarira
Kabendera
Tundu Lisu
Lwajabe
Ben Sa8
Tito Magoti
Azory Gwanda
Godbless Lema
Maizti za kwenye viriba ufukweni.
N.k
Hawa wote walimgeuka nani?
Magufuli hasafishiki. Kilichomuua ni dhambi zake. Ukiua unauawa. Imeandikwa "auawae kwa upanga hufa kwa upanga"
Yule dikteta mnaomtetea mna roho chafu
Kamkimbia jiwe na watu wakeLema kakimbia Madeni
Yaani mtu tangu 1995 hana kazi wala maisha ya kueleweka ila lawama zote wanampa JPM. Haya basi kashatangulia, ume achieve nini? Hawana majibu.. hawa usijibizane nao time will tellNenda Chato ukamalizane nae,hata ukikosa chakula mezani unarudi hapa kumbwatukia Marehemu.
Sasa si angekuwa amerudi mpaka hii leo?Kamkimbia jiwe na watu wake
NBC wanamsubiri!Kamkimbia jiwe na watu wake
Achana na huyo Pimbi wa Chato, Magufuli amekufa dhambi zake dhidi ya watanzania. Tulisali mpaka Mungu alitusikiaUtawala wa mama ushafitinika hata kama mzee alikufa kifo asili lakini kuna watu mpaka leo hawajui/hawamini kama mzee katangulia mbele za haki kwa uwezo wa Mungu
Nipo hapa ngoja tuone
jiwe nilikuw simkubali anamengi sana kawatendea ndugu zangu lakini linapokuja suala la imani yangu samehe 7x70
Serikali imesimama kidete dhidi ya wahuni. Natoa hongera na pongezi nyingi sana kwa wale wanaosimamia misingi ya kitaifa, uwepo na uendelevu.Kuna mambo mengi yanaendelea, ukifuatilia mazungumzo ya hao #Wezi unajua kuna kitu hakipo sawa huko ndani.
Kauli za wanasiasa bana mara nyingi ukizichambua zinakuwa na ukakasi ila hapa ni kweli alitelezaHutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?)
Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi?
Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au kikundi wanaweza amua Rais gani aishi na yupi afe. Na hili si jambo dogo hata kidogo. Tunaweza lichukulia kiwepesi ila ujumbe umefika kwa Sukuma Gang na wengineo.
Alichoniudhi ni kumtishia Rais. Kusema hutokufa.... Ni kumtishia Rais. Ni kauli ya mtu mwenye mamlaka ya kuamua mtu afe au asife.
Hili litaanza kuwa jipya kwa makamba kufikiri kabla ya kusema?😂Kauli za wanasiasa bana mara nyingi ukizichambua zinakuwa na ukakasi ila hapa ni kweli aliteleza
Mtu uliyebeba title kubwa ktk jamii huwezi kuzungumza hayo hata kwa utani , Kuna muda inapasa mtu mwenye title kubwa afikiri kabla ya kusema
Amenifanya mie mgaratia nijiulize Yesu kufa ana miaka 33 alikuwa kumbe ni mbaya sana ehee!😱😱😱"Rais tupo naye mpaka 2030 labda afe (ila wazuri hawafi)"
Wazuri ni wapi??
Watanzania Mtakuwa wajinga kama mkidhani alimaanisha wazuri kwa wananchi...
Wazuri Ni wale wanaolipa hilo kundi manufaa, ni wale walio pamoja na hilo kundi, ni wale wanaobariki matendo ya hilo kundi, ni wale wasioenda kinyume na hilo kundi.
So kinyume cha hiyo sentesi ambacho nacho ni ukweli, ni kuwa "wabaya wanakufa"....kwahyo wote wanaoenda kinyume na hilo kundi, wanaolipinga hilo kundi, wasiobariki njama na mipango ya hilo kundi, wasio pamoja na hilo kundi, WATAKUFA.
So hii ni direct threat kwa huyo aliyesifiwa kuwa yeye ni mzuri ndio maana hatakufa mpaka 2030.
Akijifanya kugeuza gia angani na kuligeuka hilo kundi ATAKUFA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki raisi.
Pengine bila ya kukusudia amefanya hivyo. Rais licha ya kuwa ni mwanamama anazo nguvu nyingi sana kikatiba maamuzi yake huwa yanakwenda mbali sana. Jaribu kujiweka wewe katika mazingira ambayo kila kauli yako ni agizo linalotekelezwa bila ya pengine wewe mwenyewe kujua na nani na ndani ya muda upi.Amemtishia maisha Mh. Rais.
Akipata mtu wa kumkumbusha juu ya umuhimu wa kutubu kile kitubio cha kutoka moyoni atasamehewa inategemea kama busara ya akilini mwake itampa muda wa kutafakari kwa kina juu ya kauli yake.Amenifanya mie mgaratia nijiulize Yesu kufa ana miaka 33 alikuwa kumbe ni mbaya sana ehee!😱😱😱
Ila roho mtakatifu kanikumbusha ya kwamba Mungu hadhiakiwi. Kuna kilio kinakuja na watasaga meno
Ni kweli Mkuu maana mie tu hapa nilipo umri wangu umeupita wa Yesu mwokozi alipokufa, sasa maana ya hii ni kwamba mie ni msafi kuliko Yesu kwasababu tu aliishi miaka hiyo 33?Akipata mtu wa kumkumbusha juu ya umuhimu wa kutubu kile kitubio cha kutoka moyoni atasamehewa inategemea kama busara ya akilini mwake itampa muda wa kutafakari kwa kina juu ya kauli yake.
Mungu anasamehe hivyo na yeye Mzee Makamba anaweza kuingia katika kundi hilo.