"Rais tupo naye mpaka 2030 labda afe (ila wazuri hawafi)"
Wazuri ni wapi??
Watanzania Mtakuwa wajinga kama mkidhani alimaanisha wazuri kwa wananchi...
Wazuri Ni wale wanaolipa hilo kundi manufaa, ni wale walio pamoja na hilo kundi, ni wale wanaobariki matendo ya hilo kundi, ni wale wasioenda kinyume na hilo kundi.
So kinyume cha hiyo sentesi ambacho nacho ni ukweli, ni kuwa "wabaya wanakufa"....kwahyo wote wanaoenda kinyume na hilo kundi, wanaolipinga hilo kundi, wasiobariki njama na mipango ya hilo kundi, wasio pamoja na hilo kundi, WATAKUFA.
So hii ni direct threat kwa huyo aliyesifiwa kuwa yeye ni mzuri ndio maana hatakufa mpaka 2030.
Akijifanya kugeuza gia angani na kuligeuka hilo kundi ATAKUFA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki raisi.