Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

Tangu uanze kumsakama JPM hadi sasa umefanikiwa nini kwenye maisha yako ndugu??
Anaonenaka ni mtu mwenye gubu la hatari,kama ni mwanaume ni wale mkewe akiwa anapika chakula akipendacho siku hiyo atamsimanga mpaka chakula kikiiva wanamsusia anakula peke yake.
 
Lema kakimbia Madeni
 
Wameshaona huyo mama siyo lolote hapo juu akikaa hapo juu hana madhara zaidi sana ni faida kwao kwa kuwa wakifanya yao lawama ni kwa mama.

Lakini wakimuweka makamba wao hapo lawama na maneno yatakuwa mengi wameamua kumpa muda na kujipa muda

au pia ni akili ya kazi kufanya mama aachane na mpango wa kujiimarisha kwaajili ya hiyo 2025 alafu aje kuchezewa cheusi chekundu dakika za mwisho
 
Achana na huyo Pimbi wa Chato, Magufuli amekufa dhambi zake dhidi ya watanzania. Tulisali mpaka Mungu alitusikia
 
Kuna mambo mengi yanaendelea, ukifuatilia mazungumzo ya hao #Wezi unajua kuna kitu hakipo sawa huko ndani.
Serikali imesimama kidete dhidi ya wahuni. Natoa hongera na pongezi nyingi sana kwa wale wanaosimamia misingi ya kitaifa, uwepo na uendelevu.
Wahuni wamekwama na sasa wanatema nyongo.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Ni kweli mkuu.

Kuwa mwema ni kuruhusu kuiba fedha za uma, kuiba nyara za serikali, kuuza madawa ya kulevya.
 
Makamba anaongea maneno mazito mpaka raisi Samia anashika kichwa anaziba masikio ,anatamani ardhi ipasuke [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yule mzee anazeeka vibaya aiseee ........

Maneno anaongea makamba lakin Samia yanamchoma hatarii
 
Kauli za wanasiasa bana mara nyingi ukizichambua zinakuwa na ukakasi ila hapa ni kweli aliteleza

Mtu uliyebeba title kubwa ktk jamii huwezi kuzungumza hayo hata kwa utani , Kuna muda inapasa mtu mwenye title kubwa afikiri kabla ya kusema
 
Kauli za wanasiasa bana mara nyingi ukizichambua zinakuwa na ukakasi ila hapa ni kweli aliteleza

Mtu uliyebeba title kubwa ktk jamii huwezi kuzungumza hayo hata kwa utani , Kuna muda inapasa mtu mwenye title kubwa afikiri kabla ya kusema
Hili litaanza kuwa jipya kwa makamba kufikiri kabla ya kusema?πŸ˜‚
 
Amenifanya mie mgaratia nijiulize Yesu kufa ana miaka 33 alikuwa kumbe ni mbaya sana ehee!😱😱😱

Ila roho mtakatifu kanikumbusha ya kwamba Mungu hadhiakiwi. Kuna kilio kinakuja na watasaga meno
 
Amemtishia maisha Mh. Rais.
Pengine bila ya kukusudia amefanya hivyo. Rais licha ya kuwa ni mwanamama anazo nguvu nyingi sana kikatiba maamuzi yake huwa yanakwenda mbali sana. Jaribu kujiweka wewe katika mazingira ambayo kila kauli yako ni agizo linalotekelezwa bila ya pengine wewe mwenyewe kujua na nani na ndani ya muda upi.
 
Amenifanya mie mgaratia nijiulize Yesu kufa ana miaka 33 alikuwa kumbe ni mbaya sana ehee!😱😱😱

Ila roho mtakatifu kanikumbusha ya kwamba Mungu hadhiakiwi. Kuna kilio kinakuja na watasaga meno
Akipata mtu wa kumkumbusha juu ya umuhimu wa kutubu kile kitubio cha kutoka moyoni atasamehewa inategemea kama busara ya akilini mwake itampa muda wa kutafakari kwa kina juu ya kauli yake.

Mungu anasamehe hivyo na yeye Mzee Makamba anaweza kuingia katika kundi hilo.
 
N
Ni kweli Mkuu maana mie tu hapa nilipo umri wangu umeupita wa Yesu mwokozi alipokufa, sasa maana ya hii ni kwamba mie ni msafi kuliko Yesu kwasababu tu aliishi miaka hiyo 33?

Unajua tufike mahala tunyooke kama rula huyu mzee hana busara na wala hana hekima. Anaweza kuwa mzuri kwingine huko kama kwenye ngoma zao na wapambe wake wakamkubali sana lakini kapungukiwa.

Nimeelewa ni kwa nini JPM aliwaweka wazee kando, wazee wa hivi ni hasara kwa Taifa na wanastahili wawekwe kando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…