Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana na kushirikiana na wasanii wa Kitanzania.
Your browser is not able to display this video.
Kauli hii iliwashtua mashabiki wengi, kwani baada ya wapekuzi kufukunyua mambo ikajulikana kwamba msanii hao amem-follow Diamond kwenye mtandao wa Instagram.
Sean Paul amekuwa na ushirikiano na wasanii mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na wimbo maarufu βRockabyeβ alioshirikishwa na Clean Bandit na Anne-Marie.
Kauli yake ya kutowafahamu miamba wa muziki Bongo Simba na King Kiba, ina funzo kwa muziki wetu?
Usishangae kabisa unajuwa tunavyojijuwa sisi usidhani watu wanatujuwa. Nimeshawahi kufika nchi za huko kuulizwa umetoka wapi nikasema Tanzania kwa kujiamini na nikasema kutoka Dar ili iwe rahisi japo sio wa Dar, Tanzania ndio wapi? karibu na nchi gani? lugha gani France au English... nikashtuka na hii ilikuwa sio mtu mmoja nilikuwa nimealikwa kwenye party Halloween. Hawaijuia Tanzania nikaanza East Africa naona macho tu, mnamjuwa Mandela? yes basi sio mbali sana na wao karibu na Kenya ndio nikaanza kueleweka kidogo. Usijione kujiona Boss huko Rukwa ukadhani nchi nzima wanakujuwa.. π

Ahsante hili linasaidia kweli kabisa maneno yako. Usitaje Tanzania wala Dar es salaam. ZANZIBAR TU. Unajuwa mara ya kwanza hujui watu hawana hata habari na nyinyi.
Usishangae kabisa unajuwa tunavyojijuwa sisi usidhani watu wanatujuwa. Nimeshawahi kufika nchi za huko kuulizwa umetoka wapi nikasema Tanzania kwa kujiamini na nikasema kutoka Dar ili iwe rahisi japo sio wa Dar, Tanzania ndio wapi? karibu na nchi gani? lugha gani France au English... nikashtuka na hii ilikuwa sio mtu mmoja nilikuwa nimealikwa kwenye party Halloween. Hawaijuia Tanzania nikaanza East Africa naona macho tu, mnamjuwa Mandela? yes basi sio mbali sana na wao karibu na Kenya ndio nikaanza kueleweka kidogo. Usijione kujiona Boss huko Rukwa ukadhani nchi nzima wanakujuwa.. π
Usishangae kabisa unajuwa tunavyojijuwa sisi usidhani watu wanatujuwa. Nimeshawahi kufika nchi za huko kuulizwa umetoka wapi nikasema Tanzania kwa kujiamini na nikasema kutoka Dar ili iwe rahisi japo sio wa Dar, Tanzania ndio wapi? karibu na nchi gani? lugha gani France au English... nikashtuka na hii ilikuwa sio mtu mmoja nilikuwa nimealikwa kwenye party Halloween. Hawaijuia Tanzania nikaanza East Africa naona macho tu, mnamjuwa Mandela? yes basi sio mbali sana na wao karibu na Kenya ndio nikaanza kueleweka kidogo. Usijione kujiona Boss huko Rukwa ukadhani nchi nzima wanakujuwa.. π
Hii ni kweli kabisa.
Hii dunia kuna maeneo watu hawafahamu hata kama kuna watu ni weusi huku duniani. Mtu ukiambiwa huwezi kuamini kabisa unaweza ukawaza hivi hawa watu hawana Tv na mitandao?

Unajuwa kwanini nilikuwa Canada hiyo hawa jamaa TV zao hakuna habari za dunia ni habari zao tu za ndani, hali ya hewa na stock exchange. Tena TV ikitoka sana inatangaza habari za nchi kama Canada lakini muda mwingi 80% za jimbo lao hali ya hewa na mambo yao ya ndani tu hutakuta hata siku moja habari za kwetu.