Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

Unajuwa kwanini nilikuwa Canada hiyo hawa jamaa TV zao hakuna habari za dunia ni habari zao tu za ndani, hali ya hewa na stock exchange. Tena TV ikitoka sana inatangaza habari za nchi kama Canada lakini muda mwingi 80% za jimbo lao hali ya hewa na mambo yao ya ndani tu hutakuta hata siku moja habari za kwetu.
Noma sana
 
Usishangae kabisa unajuwa tunavyojijuwa sisi usidhani watu wanatujuwa. Nimeshawahi kufika nchi za huko kuulizwa umetoka wapi nikasema Tanzania kwa kujiamini na nikasema kutoka Dar ili iwe rahisi japo sio wa Dar, Tanzania ndio wapi? karibu na nchi gani? lugha gani France au English... nikashtuka na hii ilikuwa sio mtu mmoja nilikuwa nimealikwa kwenye party Halloween. Hawaijuia Tanzania nikaanza East Africa naona macho tu, mnamjuwa Mandela? yes basi sio mbali sana na wao karibu na Kenya ndio nikaanza kueleweka kidogo. Usijione kujiona Boss huko Rukwa ukadhani nchi nzima wanakujuwa.. 😀
Sema Arusha, Serengeti, Kilimanjaro au Zanzibar ndio zinajulikana na foreigners wengi nje ya nchi
 
Wakuu

Mwanamuziki maarufu wa dancehall kutoka Jamaica, Sean Paul, aliwasili Tanzania jana (Novemba 29) kwa ajili ya show yake inayotarajiwa kufanyika leo. Katika mahojiano na Bongo 5, alipoulizwa kuhusu Diamond Platnumz, Sean Paul alikiri kwamba hamfahamu msanii huyo lakini yuko tayari kukutana na kushirikiana na wasanii wa Kitanzania.
View attachment 3165814
Kauli hii iliwashtua mashabiki wengi, kwani baada ya wapekuzi kufukunyua mambo ikajulikana kwamba msanii hao amem-follow Diamond kwenye mtandao wa Instagram.
View attachment 3165811
Sean Paul amekuwa na ushirikiano na wasanii mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na wimbo maarufu “Rockabye” alioshirikishwa na Clean Bandit na Anne-Marie.
View attachment 3165810
Kauli yake ya kutowafahamu miamba wa muziki Bongo Simba na King Kiba, ina funzo kwa muziki wetu?
View attachment 3165824
Hapo kuna kipi cha kushtua mtu?Au neno kushtuka lina maana nyingine?
 
Usishangae kabisa unajuwa tunavyojijuwa sisi usidhani watu wanatujuwa. Nimeshawahi kufika nchi za huko kuulizwa umetoka wapi nikasema Tanzania kwa kujiamini na nikasema kutoka Dar ili iwe rahisi japo sio wa Dar, Tanzania ndio wapi? karibu na nchi gani? lugha gani France au English... nikashtuka na hii ilikuwa sio mtu mmoja nilikuwa nimealikwa kwenye party Halloween. Hawaijuia Tanzania nikaanza East Africa naona macho tu, mnamjuwa Mandela? yes basi sio mbali sana na wao karibu na Kenya ndio nikaanza kueleweka kidogo. Usijione kujiona Boss huko Rukwa ukadhani nchi nzima wanakujuwa.. 😀
Ugewaambia nchi ya mlima Kilimanjaro maana ungeleweka vzr
 
Ulitakiwa useme unatoka , kwenye mlima Kilimanjaro, Serengeti,or Zanzibar, wangekuelewa
 
Back
Top Bottom