Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Tafuta kaziMkuu acha porojo na janja janjaa ,tafuta hela au utaweka marinda rehani mkuu..
Moja ya kauli ya kijinga sana huwa ni hiyo tafuta helaInatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana.
Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela.
Hii ya kutafuta hela, ndio inapelekea vijana wengi kuwa legelege, kutembea huku wakiyumbisha makalio na kupelekea kuchagua chagua kazi za kufanya.
Vijana wamekuwa wakishawishika kutafuta utajiri wa haraka na kupoteza utu wao, bila kuangalia madhara watakayo yapata huko mbeleni kwa kutafuta hela badala ya kutafuta kazi.
Unaweza kuwa na hela bila kazi maisha yako yakawa ni mateso tu; mfano, kupumuliwa, kufanya matambiko, kutokuoa, kutokuwa na watoto, kupoteza jinsia yako n.k
Kauli yetu inatakiwa iwe, tafuta kazi na sio tafuta hela.
Tafuta kaziKila kitu mjini kinaendeshwa na capitalism. Hata hiyo kazi unayoipigia upatu, mwisho wa siku mtu ataitaka kwa sababu ya hela.
Watu walishapoteza utu wao, wanataka na wengine nao wapoteze utu wao.Ni kauli ya watu wapumbavu
SanaNi kauli ya watu wapumbavu
Nonsense!Tafuta kazi
Yaani hiyo kauli huwa ni ya kijinga sanaTafuta pesa ni kauli ya kijinga sana na ya kihuni. Bora useme tafuta utajiri, tafuta mafanikio ya kipesa n.k.
Jitu lizima linasema, "tafufuta hela", utadhani hela inaokotwa jalalani. Kumanyoko kwelikweli yaani!
Ikibaki kwenye kulenga matokeo tu, wengi watatumia njia zozote zile ata kama itapoteza utu wake, muhimu aweze kuona matokeo.Bado ni yaleyale.Watafute hela kihalali bila kubadilisha matumizi ya miili yao na kukengeusha maadili mema.Hapo ni sawa na;-
1-Kusisitiza kutafuta leseni halafu mwisho haupati gari/chombo cha kuendesha ili kutimiza lengo AU
2-Kuwa bize unatafuta kazi ambayo hujui utalipwa lini,kiasi gani na kama ni ya kudumu au masaa machache.
Ni vema kuwa direct and to the point.Kulubaluba/kujizungushazungusha nako ni ujinga.Objectivities!
Umasikini ndio unaopoteza utu!Watu walishapoteza utu wao, wanataka na wengine nao wapoteze utu wao.
Utu wako ni muhimu zaidi kuliko hiyo helaNonsense!
Umasikini ndio unaofuta utu wa mtu kwa asilimia mia moja.Utu wako ni muhimu zaidi kuliko hiyo hela