Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Sasa hapo yawezekana uwasilishaji wa hoja unautafsiri vibaya.Kutafuta hela ni nahau/msemo/mbinu ya msemo wa kiswahili.Huwezi kupata hela bila kufanya kazi.Ndiyo misingi inayokusudiwa.Kwani mtu akisema "anaenda mwayo" ndiyo maana yake "anatembea kuelekea sehemu inaitwa mwayo"?
Unachokisema ni cha kweli, lakini binafsi mtu akiniambia msemo huo basi natapika tu mara moja. Sijui shida ni nini.
 
Back
Top Bottom