Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Unakutana na kijana wakiume anavaa magauni, ukimuuliza kwa nini, anakwambia anatafuta hela.​
Ajabu ni kwamba,hao wavaa magauni ndiyo huwa wanashinda majumbani mwetu (kwa mtindo wa watoto/familia kuangalia vifilamu vyao)wanawachekesha wanaobaki.Mambo ya kuchunga sana yasiigwe nao.
 
....mwangalie anayekwambia tafuta hela sasa!! Naye nanga inapaa.
 
Back
Top Bottom