Kauli ya tafuta hela, inapotosha vijana.

Mleta mada acha kupotosha watu; kila mtu anataka pesa hata asiye na kazi anawaza pesa.
 
Unaitafutaje hiyo hela?
Unachagua Ramani au kama wenyewe wanavoita dili (mchongo) au chaneli ambayo hatima yake utaipata hiyo hela. Kwa mfano kipindi cha mvua/masika wapo vijana wanapita-pita wakitafuta kazi yeyote ya Usafi wa mazingira ya nyumbani kwani kipindi hicho majani yanakuwa yameota sana kuzizunguka nyumba.
Kipindi cha kuvuna wapo vijana wanapita-pita (wengine huwa na zile mashine ndogo za kupukucha mahindi)wanazipakia kwenye pikipiki wakitafuta kazi ya uvunaji na kupukucha mahindi n.k. Kazi zote hizo huwa na malipo kwa mujibu wa makubaliano na mwenye kazi(Tajiri).
 
Tutafute kazi, kazi ndio inayoleta hela halali
 
Pesa ni matokeo ya kazi na kazi ni mchakato wa kupata pesa.
Sasa vijana wengi tunataka matokeo (pesa) bila mchakato (kazi) ndiyo sababu tunapoteza marinda
 
Back
Top Bottom