Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
- Thread starter
- #81
Unakuta huko mitandaoni, watu wanaonyesha maburungutu ya pesa na vitu vya kifahari, lengo likiwa ni kuharibu jamii.Shetani anapambana kweli kweli kupata wafuasi..
Unakuta huko mitandaoni, watu wanaonyesha maburungutu ya pesa na vitu vya kifahari, lengo likiwa ni kuharibu jamii.Shetani anapambana kweli kweli kupata wafuasi..
Inabidi yale mambo ya jando yarudi ili kulinda vizazi vyetu.Hapo ndiyo anawahi kazini!
Mimi nadhani kauli ya Tafuta hela bado ina mashiko. Fedha/Hela ndo iwe ni end results. Baada ya kupata hizo hela unaweza sasa kuanzisha lengo (End results) lingine e.g. Kununua kiwanja, kujenga nyumba, kununua kifaa cha usafiri n.k. Kujiwekea lengo ni Kutafuta kazi, mbona kazi zimejaa tele lakini hawapo wa kukulipa fedha ukishafanya kazi hiyo. Vijana wengi sio kwamba hawazioni kazi za kufanya, bali hawawaoni walio Tayari kulipia gharama ya nguvu kazi itakayotumika hapo.Inatakiwe isomeke na ieleweke kuwa ni tafuta kazi na si tafuta hela; ili kuweza kudumisha maadili na afya za vijana.
Kwa sababu kazi ndio chanzo cha kupata hela.
Hii ya kutafuta hela, ndio inapelekea vijana wengi kuwa legelege, kutembea huku wakiyumbisha makalio na kupelekea kuchagua chagua kazi za kufanya.
Vijana wamekuwa wakishawishika kutafuta utajiri wa haraka na kupoteza utu wao, bila kuangalia madhara watakayo yapata huko mbeleni kwa kutafuta hela badala ya kutafuta kazi.
Unaweza kuwa na hela bila kazi maisha yako yakawa ni mateso tu; mfano, kupumuliwa, kufanya matambiko, kutokuoa, kutokuwa na watoto, kupoteza jinsia yako n.k
Kauli yetu inatakiwa iwe, tafuta kazi na sio tafuta hela.
Kahawa zile za wazee wetu wa zamani za vijiweniNi kahawa ya kawaida tu au ni ile kahawa iliyoboreshwa/al-kasusu?
Wanataka na wengine wapoteeUmewashtukia ee?. Ni wale watu ambao msiba wa wengi kwao ni sherehe😀
Wengi wanakuwa wamepoteza utu wao, kwa hiyo wanawahimiza na wengine wawe kama wao katika kujipa matumaini.....mwangalie anayekwambia tafuta hela sasa!! Naye nanga inapaa.
Tamaa ndio inatupeleka hukoInasikitisha sana
Labda hizo kazi zinaleta pesa kwa mwendo wa kobeTamaa ndio inatupeleka huko
Unaitafutaje hiyo hela?Mimi nadhani kauli ya Tafuta hela bado ina mashiko. Fedha/Hela ndo iwe ni end results. Baada ya kupata hizo hela unaweza sasa kuanzisha lengo (End results) lingine e.g. Kununua kiwanja, kujenga nyumba, kununua kifaa cha usafiri n.k. Kujiwekea lengo ni Kutafuta kazi, mbona kazi zimejaa tele lakini hawapo wa kukulipa fedha ukishafanya kazi hiyo. Vijana wengi sio kwamba hawazioni kazi za kufanya, bali hawawaoni walio Tayari kulipia gharama ya nguvu kazi itakayotumika hapo.
Mara ya mwisho nilisikia wajuaji wanasema hao waliopoteza ubingwa huwa wana wivu sana.Sasa hawaoni wakiwa wengi itawaletea "vita kubwa ya kiuchumi" na "nafasi chache za kazi" miongoni mwao?Wengi wanakuwa wamepoteza utu wao, kwa hiyo wanawahimiza na wengine wawe kama wao katika kujipa matumaini.
Kwa hiyo wanaona bora wapoteze utu wao, mfano; leo ukawa na bilioni moja halafu mashine haifanyi kazi, hiyo pesa inakusaidia nini?Labda hizo kazi zinaleta pesa kwa mwendo wa kobe
Itasaidia mambo mengine 😎Kwa hiyo wanaona bora wapoteze utu wao, mfano; leo ukawa na bilioni moja halafu mashine haifanyi kazi, hiyo pesa inakusaidia nini?
Wanatamani wawe wengi ili kujihalalisha, na wengi wanatumiwa kama tambiko na matajiri au wenye vyeo waliotumia njia za kishirikinaMara ya mwisho nilisikia wajuaji wanasema hao waliopoteza ubingwa huwa wana wivu sana.Sasa hawaoni wakiwa wengi itawaletea "vita kubwa ya kiuchumi" na "nafasi chache za kazi" miongoni mwao?
Mwingine huyu hukuTafuta hela wewe.
Kama yapi, wakati furaha ya nafsi inakuwa haipo. Ingawa kwa nje, watakusifia una hela,ila moyoni unaumia.Itasaidia mambo mengine 😎
Duh!Wawe makini kwa sababu mabeberu nayo yapo kwenye vita hiyohiyo,tena kwa wingi.Wanatamani wawe wengi ili kujihalalisha, na wengi wanatumiwa kama tambiko na matajiri au wenye vyeo waliotumia njia za kishirikina