Kauli ya Tundu Lissu kwamba kama akishinda asipotangazwa mshindi " Patachimbika", anamtisha nani na anamaanisha nini?

Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Anawatisha wale wanaoplan kuchakachua matokeo. Wasije wakasema hatukuwambia.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Seif pekee yake akiongea haya maneno ndiyo watu wataogopa lakini TAL watu walitaka kumtoa uhai hata Singida mjini acha kuchimbika hata vumbi halikupita.
 
Kushindwa kwa Lissu ni wazi! Ajiandae kwa hilo. Ni kwa haki kwani awamu ya tano imejaa amani na haki
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Tumezoea kuona mtu akisema patachimbika kwa maisha ya kitanzania anakua amekasirika na amepaania kufanya jambo juu ya matokeo yoyote yatakayokuja.
Watanzania tunathamin Sana amani yetu.
Asitutishe
Amani kwetu ndio jambo la msingi hatutamruhusu atuaribie amani yetu
 
Njoo porini wanaume tukufundishe,unaenda mizamo kama kumi,alafu unaupata mkanda. Baada ya hapo ni kuponchi tu.
Akili yako inakutosha
Dhahabu na mapori imekuwa asali?

Najua mengi juu ya biashara hii makota bado wengi tu huko Garema,Nyarugusu ,mwakitolyo nk
 
Lissu hata akishindwa kihalali anaonyesha kabisa anania ya dhati ya kuvuruga amani ya nchi yetu.
Mungu muumba mbingu na nchi anailinda na kuipenda nchi yetu na atamuibisha Lissu aibukubwa sana.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
Meko karudi dom kujipanga na nec plus policeccm jinsi ya kubaki madarakani,mitano inamtosha sana tunamtaka mitano kwanza
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
unamuuliza nani sasa?
 
Ni kama wale wanaosema watakaochezea amani watakiona cha moto!Hivyo ni vitisho pia!
Sasa na Lissu anasema ole wao watakaovuruga uchaguzi!Atakayemwaga mboga basi na ugali lazima utamwagika!

Sanduku la kura liheshimiwe ili amani itamalaki!
Lissu uchaguzi huu kaachiwa uhuru basi anajiona yeye ndo mungu subiri uchaguzi uishe atakua mtu wa kuriport mahakamani JPM anamsoma tu tabia yake uraisi kwa Lisu ni kuatu kikubwa sana
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!
"Ole wenu" Kama wewe ni Mkristo,ole imetajwa Mara ngapi kwa Biblia?
 
Mkichakachua weee, Umtakiona cha moto
Kilichomtoa khanga,manyoya yake
Hakuna kulala,hakuna kulala
Mpela mpela,mpaka kieleweke.

Moja ya nyimbo zinazotumiwa na chama pendwa CHADEMA kwenye kampeni zake[emoji111]
Hapo No wasanii.

Aise huu mwaka huu patachimbika bila jembe....chama cha majizi hakuna mbereko uchaguzi huu...wakoloni weusi nyie
 
MaCCM mkiiba kura.., Tutapasuana matumbo tulane maini wenyewe kwa wenyewe Uchaguzi huu.
Haina kumwachia Mungu.
Nina mzuka na MaCCM Mungu tu ndio ajuae.. October 28. Ifike.
 
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.

Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?

Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.

Maendeleo hayana vyama!

Anayetishwa hapo yuko wazi. Yaani "mwizi". Kwa hakika kumtisha tu mwizi kile kwetu usukumani wala haitoshi.

Sisi na jiwe huwa hatuna huruma na mwizi. Huyo huwa ala kiberiti kabisa.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Back
Top Bottom