Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawatisha wale wanaoplan kuchakachua matokeo. Wasije wakasema hatukuwambia.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Inaonekana vyanzo vikuu vya mapato ya serikali hii ni;Sijamuelewa bwashee!
Seif pekee yake akiongea haya maneno ndiyo watu wataogopa lakini TAL watu walitaka kumtoa uhai hata Singida mjini acha kuchimbika hata vumbi halikupita.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Daa! Haupepesi. Asiyeelewa ana walakini.Fikiria Magufuli (yaani mathalani tu, japo hana uwezo wa kushinda uchaguzi huu) ameshinda halafu NEC wakamtangaza Rungwe kuwa ndio mshindi. Utajisikaije? Jibu ni hivyo hivyo kwa kwa Lisu.
Tumezoea kuona mtu akisema patachimbika kwa maisha ya kitanzania anakua amekasirika na amepaania kufanya jambo juu ya matokeo yoyote yatakayokuja.Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Akili yako inakutoshaNjoo porini wanaume tukufundishe,unaenda mizamo kama kumi,alafu unaupata mkanda. Baada ya hapo ni kuponchi tu.
Haki?Kushindwa kwa Lissu ni wazi! Ajiandae kwa hilo. Ni kwa haki kwani awamu ya tano imejaa amani na haki
Meko karudi dom kujipanga na nec plus policeccm jinsi ya kubaki madarakani,mitano inamtosha sana tunamtaka mitano kwanzaHii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Anakupiga mkwara wewe na vibaraka wenzako!Kwahiyo anapiga mkwara mbuzi?
unamuuliza nani sasa?Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Lissu uchaguzi huu kaachiwa uhuru basi anajiona yeye ndo mungu subiri uchaguzi uishe atakua mtu wa kuriport mahakamani JPM anamsoma tu tabia yake uraisi kwa Lisu ni kuatu kikubwa sanaNi kama wale wanaosema watakaochezea amani watakiona cha moto!Hivyo ni vitisho pia!
Sasa na Lissu anasema ole wao watakaovuruga uchaguzi!Atakayemwaga mboga basi na ugali lazima utamwagika!
Sanduku la kura liheshimiwe ili amani itamalaki!
"Ole wenu" Kama wewe ni Mkristo,ole imetajwa Mara ngapi kwa Biblia?Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!
Hii kauli ya " patachimbika" au " hapatatosha" mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amekuwa akiirudia mara kwa mara na sijawasikia NEC wakisema chochote.
Je ni msamiati wa kisheria au ni mkwara kama mikwara mingine ya vijiweni?
Ufafanuzi Tafadhali, amani ni tunu ya taifa.
Maendeleo hayana vyama!