Muwaseme wakati ni advantage kwa upande wa pili?Mkiwapisha wala rushwa kugombea tutawasema tu.
Mi mwenyewe ni pro-Magufuli na obviously nitampigia kura come October.Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Lisu anaongea factsNchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Kampeni ni kuongea sera zako sio mtu. Ndio Maana media hazitaki kutangaza vitu vyake upinzani haeaongelei sera wanaongelea WatuKassim Majaliwa anaelewa ni nini maana ya kampeni?
Kweli kabisa......Hivi yale maneno ya boss mkubwa, kwamba wapinzani wakichumua madaraka watavunja madaraja na kuyauza kama skrepa... SIYO KUWACHAFUA WAPINZANI..!?? Au uchafu ni upande mmoja!?
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao...
Wameanza wenyewe kuwachafu wapinzani mtu kweli unaweza kuvunja nyumba yako? nafananisha daraja km kitu muhimu km nyumba maana bila daraja huwezi kupiga hatuaHivi yale maneno ya boss mkubwa, kwamba wapinzani wakichumua madaraka watavunja madaraja na kuyauza kama skrepa... SIYO KUWACHAFUA WAPINZANI..!?? Au uchafu ni upande mmoja!?
Halafu,Kweli kabisa......
Hivi kwa tafsiri yao CCM, kuchafuliwa ni kwa upande mmoja tu pale wapinzani wanaopokosoa viongozi wa CCM, lakini wakati huo huo viongozi wa CCM wakiwatukana na kuwachafua viongozi wa upinzani ni ruksa?
Matusi gani hayo?Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Kwani akisema Rais kajenga uwanja was ndege Chato katukana? Akisema kujenga miundombinu kulianza toka enzi za mjerumani aliyejenga ikulu, Kambarage aliyejenga viwanda, reli ya Tazara, Mkapa aliyefanya mengi Kama ulisikia aliyofanya hivi majuzi, Kikwete aliyejenga UDOM Ni tusi gani hapo? Kwamba vyama vya upinzani vimeminywa Ni tusi?Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Labada ungetuonyesha hayo matusi na dharau alioifanya Lisu.Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Umesema ukweli kwa asilimia 100Mi mwenyewe ni pro-Magufuli na obviously nitampigia kura come October.
Linapokuja suala la campaign wacha vyama vimseme na "vimchafue" Magufuli maana huu ndo mda wake...
Kwani akijiharibia si ndio vizuri mshinde kwa kishindo. Mi nasema Lissu aendelee kupiga spana tu.Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Hivi Tundu Lisu amemtukana tusi gani Rais Magufuli?Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Ndio hao wanaoitwa MATAGA?Ngoja waje wale timu kusifu na kuabudu
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Kusema kuwa tutajenga misingi bora ya maamuzi ya matumizi ya fedha ya umma, na siyo kama ilivyo sasa ambapo Rais anaamua kujenga uwanja mkubwa wa ndege kijijini kwake, siyo sera?Kampeni ni kuongea sera zako sio mtu
Ndio Maana media hazitaki kutangaza vitu vyake upinzani haeaongelei sera wanaongelea Watu