Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,603
Tenda haki uone kama utasemwaWafanye kampeni za kistaarabu maana wengine wanafikiri wakitukana watanzania ndio wanawaelewa na muuache kumsemasema magufuli..
Semeni mgombea wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tenda haki uone kama utasemwaWafanye kampeni za kistaarabu maana wengine wanafikiri wakitukana watanzania ndio wanawaelewa na muuache kumsemasema magufuli..
Semeni mgombea wenu
Ndugu yangu yangu Unajua kuwa chato sasa hivi kuna mradi wa kukuza shamba la miti kubwa kuliko ilivyo SAW HILL ya Mufindi. Nyerere alilipeleka Iringa si Butiama.Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Mlipewa ruksa ya kufanya mikutano ya siasa kwenye majimbo, ila mkapuuza acheni kujiliza kisa mnajua mmeshashindwa.Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri alikuwa na maana ya wagombea wa Chadema na ACT Wazalendo, ambao kwao CCM ndiyo wanawaona kuwa ni tishio kubwa sana kwao.
Ni jambo la kushangaza kauli hiyo kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu wa CCM, kwa kuwa katika kipindi chote cha miaka 5 iliyopita, chama cha CCM "kilijipendelea" kwa kufanya kampeni peke yao, nchi nzima, wakiwachafua na kiwatukana viongozi wenzao wa upinzani, huku wakivipiga marufuku vyama vya upinzani, kutofanya mikutano yoyote ya kisiasa ya kujibu mashambulizi hayo
Sasa inashangaza mno kwa viongozi hao wa upinzani wanapotumia fursa hii waliyoipata wakati huu kufanya kampeni kujieleza, Waziri mkuu anasema wasiwachafue viongozi wa CCM!
Hivi kwa mfano kauli iliyotolewa na kiongozi wa Chadema, ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais Tundu Lissu, kuwa Rais Magufuli ametumia nafasi yake ya Urais kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa, huko kijijini kwake Chato na "kulazimisha" kuwa na mbuga yao ya wanyama ya Burigi, kwa Maelezo ya waziri mkuu, ni kumchafua Rais Magufuli?
Ninavyoona Mimi kama raia wa Tanzania, ambaye nina haki ya kutoa maoni yangu, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 18(1) uamuzi wa busara kwa viongozi wa CCM ni kwa Rais Magufuli kujitokeza hadharani na kujibu mapigo hayo ni kwanini yeye ameamua kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kijiji chake, kinyume cha viongozi waliomtangulia, akina Mwalimu Nyerere, Alli Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, hawajafanya kama yeye, aende kwenye majukwaa ya kisiasa ili atoe maelezo kama maneno aliyoyatoa Tundu Lissu ni ya uwongo. OVA
Anajiharibia ktk jamii.Sasa akijaharibia sio vizuri kwetu sie ccm.
Ww unataka ajijenge. TAGA mwenzetu vp ww?
Maneno ya mwoga: "Mshikeni. Nitamuua".Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri alikuwa na maana ya wagombea wa Chadema na ACT Wazalendo, ambao kwao CCM ndiyo wanawaona kuwa ni tishio kubwa sana kwao.
Ni jambo la kushangaza kauli hiyo kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu wa CCM, kwa kuwa katika kipindi chote cha miaka 5 iliyopita, chama cha CCM "kilijipendelea" kwa kufanya kampeni peke yao, nchi nzima, wakiwachafua na kiwatukana viongozi wenzao wa upinzani, huku wakivipiga marufuku vyama vya upinzani, kutofanya mikutano yoyote ya kisiasa ya kujibu mashambulizi hayo
Sasa inashangaza mno kwa viongozi hao wa upinzani wanapotumia fursa hii waliyoipata wakati huu kufanya kampeni kujieleza, Waziri mkuu anasema wasiwachafue viongozi wa CCM!
Hivi kwa mfano kauli iliyotolewa na kiongozi wa Chadema, ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais Tundu Lissu, kuwa Rais Magufuli ametumia nafasi yake ya Urais kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa, huko kijijini kwake Chato na "kulazimisha" kuwa na mbuga yao ya wanyama ya Burigi, kwa Maelezo ya waziri mkuu, ni kumchafua Rais Magufuli?
Ninavyoona Mimi kama raia wa Tanzania, ambaye nina haki ya kutoa maoni yangu, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 18(1) uamuzi wa busara kwa viongozi wa CCM ni kwa Rais Magufuli kujitokeza hadharani na kujibu mapigo hayo ni kwanini yeye ameamua kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kijiji chake, kinyume cha viongozi waliomtangulia, akina Mwalimu Nyerere, Alli Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, hawajafanya kama yeye, aende kwenye majukwaa ya kisiasa ili atoe maelezo kama maneno aliyoyatoa Tundu Lissu ni ya uwongo. OVA
true hakuna aliyeawhi mgusa msiba akabaki salama alishughulikiwaSiyo dini ndiyo inayomlinda huyo kivuruge.
Bali ukweli ni kuwa yupo "karibu sana" na Jiwe, ndiyo imekuwa kinga yake kubwa, hadi vyombo vya sheria vinamuogopa!
Watawala Mara zote hujisahau na kujiona kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya nchi, wanasahau nchi ni ya wananchi na waowamepewa dhamana tu ya kuendesha nchi chini ya uangalizi wa wananchi kwa miaka mitano.Mbona wapinzani wakitukanwa (wanaitwa vibaraka wa mabeberu, wazinzi, wana mahusiano ya jinsia moja, mafisadi wa ruzuku, wauaji wa Akwilina n.k.) na wafuasi wa Chama Tawala hatuwasikii mkiwatetea? Watu wamewatishia vifo na kuwatia vilema lakini hatuwasikii mkisema kuwa hiyo sio sahihi!
Watanzania kweli ni waelewa na wanajua nani anamtukana nani.
Amandla...
Je wakati kina Slowslow, kibajia na msukuma wakitoa kashfa na kejeli zao kwa wabunge wasio wa ccm mh. PM akiwa kiongozi wa shughuli za serikali bungeni kwanini hakukemea? Wakati EL anagombea kupitia ukawa kashfa za nguoni alizotupiwa au clip walizozagaza kina msukuma wakati FM amevamiwa kwanini hakukemea?Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri alikuwa na maana ya wagombea wa Chadema na ACT Wazalendo, ambao kwao CCM ndiyo wanawaona kuwa ni tishio kubwa sana kwao.
Ni jambo la kushangaza kauli hiyo kutolewa na kiongozi wa ngazi ya juu wa CCM, kwa kuwa katika kipindi chote cha miaka 5 iliyopita, chama cha CCM "kilijipendelea" kwa kufanya kampeni peke yao, nchi nzima, wakiwachafua na kiwatukana viongozi wenzao wa upinzani, huku wakivipiga marufuku vyama vya upinzani, kutofanya mikutano yoyote ya kisiasa ya kujibu mashambulizi hayo
Sasa inashangaza mno kwa viongozi hao wa upinzani wanapotumia fursa hii waliyoipata wakati huu kufanya kampeni kujieleza, Waziri mkuu anasema wasiwachafue viongozi wa CCM!
Hivi kwa mfano kauli iliyotolewa na kiongozi wa Chadema, ambaye pia ni mgombea wa nafasi ya Urais Tundu Lissu, kuwa Rais Magufuli ametumia nafasi yake ya Urais kujenga kiwanja cha ndege cha kimataifa, huko kijijini kwake Chato na "kulazimisha" kuwa na mbuga yao ya wanyama ya Burigi, kwa Maelezo ya waziri mkuu, ni kumchafua Rais Magufuli?
Ninavyoona Mimi kama raia wa Tanzania, ambaye nina haki ya kutoa maoni yangu, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 18(1) uamuzi wa busara kwa viongozi wa CCM ni kwa Rais Magufuli kujitokeza hadharani na kujibu mapigo hayo ni kwanini yeye ameamua kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa kwenye kijiji chake, kinyume cha viongozi waliomtangulia, akina Mwalimu Nyerere, Alli Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete, hawajafanya kama yeye, aende kwenye majukwaa ya kisiasa ili atoe maelezo kama maneno aliyoyatoa Tundu Lissu ni ya uwongo. OVA
Huo ndiyo ukweli mchungu, ambao watawala wanajitia upofu, kujifanya hawauoni..........Watawala Mara zote hujisahau na kujiona kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya nchi, wanasahau nchi ni ya wananchi na waowamepewa dhamana tu ya kuendesha nchi chini ya uangalizi wa wananchi kwa miaka mitano.
aende zake huko yeye sio mbunge na sio waziri tena anawezaje kutisha wagombea wezakeHabari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.