Uchaguzi 2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

Uwanja wa ndege Chato ni mali ya rais Magufuli? Mbuga ya wanyama pori Burigi ni mali binafsi ya rais Magufuli? Uwanja wa ndege Chato ni mali ya watanzania wote. Na ni msaada kwa wakazi wa geita maana kama mkoa kulikuwa hakuna uwanja wa ndege. Acha upotoshaji wa kizushi.
 
Musiba angekuwa ni muislamu kitambo Sana angeshakuwa jela
 
Jibu ni rahisi sana.
Ukiacha mikoa ya ukanda wa pwani, kaskazini,kusini na Kati sehemu kubwa iliyo na idadi kubwa ya watu ni maeneo yanayozunguka ziwa Victoria.
Katika maeneo hayo ndiko kuna fursa nyingi za kiuchumi kwa maana ya ukaribu na nchi za maziwa makuu (Rwanda, Burundi, Uganda, DRC, )
Huduma muhimu maeneo hayo zilisahaulika,kwa kuwa wengi wa watu walienda maeneo hayo kama watafutaji tu na si wakazi (kwenye uvuvi, madini na ufugaji).
Ukanda ule unajumuisha maeneo yafutayo:-
Biharamulo,Chato,Nkome,Muleba,Kakonko,Ushirombo,Nzera,Sengerema,Keza,Nyakasanza,Nyabugombe,Ushetu,Malongwe,Mbogwe kwa pamoja yanaweza kutengeneza Mkoa wa kiutawala kama ilivyo Arusha.(Kuna madini,utalii,fursa za biashara nchi jirani,)
Binafsi naona serikali imechelewa kupeleka madaraka ya kimkoa maeneo hayo ili wananchi wa maeneo hayo nao wajivunie Utanzania wa kweli.
Wengi tunapinga sababu tu ya fikra za kibaguzi, ubinafsi na choyo kwa maendeleo hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa nchi kuwa eti tukifanya tutawanufaisha watu wengine.
Haiwezekani na haitowezekana maeneo ynayochangia pato watu wake waachwe bila maendeleo si vizuri.
Kujengwa uwanja wa ndege wa Chato ni fursa ya kukuza biashara na kuimalisha utalii katika ukanda wa maziwa makuu, Chato kijiographia iko sawa sawa na wilaya ya Nyamagana, Mwanza na ni karibu na maeneo mengine katika nchi za maziwa makuu.
Maeneo yale zipo biashara nyingi na hivyo ni muhimu kupeleka huduma, anayetaka kuamini atembelee Buselesele/Katoro (tumia hata Google Map)
Nitaendelea baadae....
 
Jiwe hata kama akishinda kwa zile mbinu zake za kishetani lazima aoge matusi kipindi chote cha kampeni
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
taja tusi moja tu ambalo lisu alishawahi kumtukana magufuli. moja tu
 
sawa je bunge lilipitsha? sawa je tenda/kandarasi ilitangazwa? sawa je palikuwa na uwazi wa kumpata mkandarasi? sawa je kwanini basi isiwe mwanza ambako tayari kuna uwanja iwe chato?
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Watanzania ni waelewa ni mwisho wa magufuli sasa
 
Awamu hii wamejenga tabia ya kusifiana, imefikia mahali wamejisahau wanadhani kampeni ni sehemu ya kuwasifia CCM.
ati mkuu wa wilaya anaenda kukagua choo kilichojengwa kwa nguvu za wananchi badala ya kuwasifia wananchi kwakujitolea anasema namshukuru raisi JPM kwa juhudi zake mfyuuuuuu? kwani yye alibeba tofali pale mfyuuuuuu
 
Hahaaaaaa............ 😁 😛
 
Siasa Safi, Elimu na Afya=Maendeleo, Siasa Safi sio matusi bali sera zenye kuamsha hisia za wapiga kura.
 
Musiba angekuwa ni muislamu kitambo Sana angeshakuwa jela
Siyo dini ndiyo inayomlinda huyo kivuruge.

Bali ukweli ni kuwa yupo "karibu sana" na Jiwe, ndiyo imekuwa kinga yake kubwa, hadi vyombo vya sheria vinamuogopa!
 
sawa je bunge lilipitsha? sawa je tenda/kandarasi ilitangazwa? sawa je palikuwa na uwazi wa kumpata mkandarasi? sawa je kwanini basi isiwe mwanza ambako tayari kuna uwanja iwe chato?
Kupanga ni kuchagua.
Kuhusu tenda sijui
Kuhusu uwazi wa tenda sijui
Kuhusu kwanini isiwe Mwanza, jibu ni Umbali wa kimkoa swala hapa ni kutengeneza Mkoa mwingine utakaofanana na Arusha/Kilimanjaro.
Full stop (fursa zipo za kutosha)
Mbona wao wa huko hawalalamikii mafungu ya mapesa yaliyojenga na yanaendelea kujenga maeneo mengine?
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Sasa akijaharibia sio vizuri kwetu sie ccm.
Ww unataka ajijenge. TAGA mwenzetu vp ww?
 
asante kwa kukiri ukweli. kiongozi yeyete msafi hufuata taratibu zilizowekwa.
 
Tutawasema tu na yako mengi kweli kweli!! Wasubiri dawa inachemka jikoni! Mpaka wajumbe cheche
 
Majaliwa analeta upendeleo wa wazi kabisa, kama alikua na nia njema angesema kabisa both CCM na wapinzani wasichafuane.
 
Wafanye kampeni za kistaarabu maana wengine wanafikiri wakitukana watanzania ndio wanawaelewa na muuache kumsemasema magufuli..

Semeni mgombea wenu
 
Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.

Hajamtusi bali ana expose madhambi yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…