Uchaguzi 2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

Nchi haijengwi kwa matusi au dharau, ni muhimu kujenga utamaduni wa kushindana kwa hoja za maendeleo. Mfano Lis anapomdharau na kumtusi Dkt Magufuli unadhani anamfurahisha nani zaidi ya kujiharibia? Watanzania ni waelewa.
Ndugu yangu yangu Unajua kuwa chato sasa hivi kuna mradi wa kukuza shamba la miti kubwa kuliko ilivyo SAW HILL ya Mufindi. Nyerere alilipeleka Iringa si Butiama.
Tuwe na kiasi kumtukuza huyu mtu. Mabaya haya machache yanapofua watu kuyaona mazuri. Mwaka huu tutachoka kumvika Nguo. Maana kila utakayomvika wapinzani watamvua. Mwisho siku ya kupiga kura ikifika atakuwa uchi na kajichafua na kinyesi
 
Mlipewa ruksa ya kufanya mikutano ya siasa kwenye majimbo, ila mkapuuza acheni kujiliza kisa mnajua mmeshashindwa.
 
Maneno ya mwoga: "Mshikeni. Nitamuua".
 
Siyo dini ndiyo inayomlinda huyo kivuruge.

Bali ukweli ni kuwa yupo "karibu sana" na Jiwe, ndiyo imekuwa kinga yake kubwa, hadi vyombo vya sheria vinamuogopa!
true hakuna aliyeawhi mgusa msiba akabaki salama alishughulikiwa
 
Ttz miaka yote mitano walikua wanajixifia kipindi hiki wanakoxolewa wanaxema wanachafuliwa wapeleke ujinga wao huko watulie dawa iingie
 
Si mmemaikia mkuu wa Tanpol,na yeye kaimba wimbo uleule.
 
Watawala Mara zote hujisahau na kujiona kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya nchi, wanasahau nchi ni ya wananchi na waowamepewa dhamana tu ya kuendesha nchi chini ya uangalizi wa wananchi kwa miaka mitano.
 
Je wakati kina Slowslow, kibajia na msukuma wakitoa kashfa na kejeli zao kwa wabunge wasio wa ccm mh. PM akiwa kiongozi wa shughuli za serikali bungeni kwanini hakukemea? Wakati EL anagombea kupitia ukawa kashfa za nguoni alizotupiwa au clip walizozagaza kina msukuma wakati FM amevamiwa kwanini hakukemea?
WAVUMILIE TU WATU WATEME NYONGO ZA KUDHIHAKIWA MIAKA MITANO!
"Mwanasiasa anapaswa kuwa na ngozi ngumu..." by NM
 
Waziri mkuu nilikuwa namuona kama ni mtu mpole, msitarabu, anajiheshimu,,,ila kutokana na hiyo kauli yake naye kuanzia sasa nimemuweka kwenye kundi la watu wa OVYO OVYO
 
Watawala Mara zote hujisahau na kujiona kuwa wao ndiyo wenye hati miliki ya nchi, wanasahau nchi ni ya wananchi na waowamepewa dhamana tu ya kuendesha nchi chini ya uangalizi wa wananchi kwa miaka mitano.
Huo ndiyo ukweli mchungu, ambao watawala wanajitia upofu, kujifanya hawauoni..........

Lakini ipo siku hizi.dhuluma zote zinazofanywa na watawala zitafika mwisho
 
aende zake huko yeye sio mbunge na sio waziri tena anawezaje kutisha wagombea wezake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…