yakowazi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 1,765
- 624
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeweza vipi kumjudge mtu Ni mwehu aisee.kuna watu chuki zitawapeleka pabayaKwani hukuwahi msikia mwendazake akiwaambia watu wa Mwanza, akielezea kuwa anawateua "wehu" wenzake kwenye serikali yake?
Hivi unadhani kweli "upstairs" zake ziko sawa huyu Chalamila??
Mkuu:Kuna swali moja umeshindwa kujiuliza kuwa huyu ni mkuu wa mkoa na ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Mchukue yeye na kila kitu kuhusu yeye kama upumbavu Ila mbakizie tu hiyo nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa na itafakari kauli yake chini ya nafasi hiyo.
HhhhhhuAlizoea kutamka maneno ya kumfurahisha mwendazake, juzi alizidisha viungo akaharibu mchuzi. Ninaamini Chalamila hakuazimia kusema watu waende na mabango ya matusi.
Ya u RC
Apumzike salama sio kwa roporopo lile huyo hafai kabisa ....mke wake kavumilia mengi
Huyu Chalamila nadhani kichwani kuna mahali hapapo sawa. Mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi kuropoka kiasi hicho.
Mh. Samia atambue kuwa mtangulizi wake, mara nyingi alikuwa akiwapenda watu wenye akili na tabia za ajabu ajabu. Na kuna wakati aliwahi kutamka kuwa amemteua jamaa mmoja kwa sababu ni kichaa kama yeye. Rais awachunguze wateule wote wa mtangukizi wake, wale ambao akili, tabia na hekima havijatimia awaondoe mapema. Kuendelea kuwalea, kuna siku Mh. Rais atakuja kujutia kwa nini hakuwaondoa mapema.
Labda kwenye pombe maana alikuwa anahamasisha sana watu kwenda kunywa pombeChalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
hahahahah!Labda kwenye pombe maana alikuwa anahamasisha sana watu kwenda kunywa pombe