DASM
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 2,374
- 2,891
Kwani ajabu Chalamila kuwa na PhD Acha kuwa na madharau . Wenye PhD wanafananajeChalamila eti na yeye ana PhD
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ajabu Chalamila kuwa na PhD Acha kuwa na madharau . Wenye PhD wanafananajeChalamila eti na yeye ana PhD
Ninachoshukuru hujanielewa.Hayo maneno washamba wa Mwanza ndio huwa petrol inayoanzisha uhasama baadae.
Rwanda ilichafuka 1994 kwa maneno machache tu kama hayo.
Kule ulaya mashariki kwa kina Albania kulichafuka kwa maneno machache tu.
Kapigwa chini yeye na kamati inaendelea na kazi chini ya RC mpya mwenye uwezo wa kuuchunga mdomo wake.Ninachoshukuru hujanielewa.
But naaamini hamtaishia kumtumbua tu huyu mkosa busara Chalamila, bali mtatafakari pia na kauli yake ili mjue kama ni ya Chalamila lopo lopo, au Chalamila Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa mkoa.
Sasa na ile fake ya mwendazakeChalamila eti na yeye ana PhD
Yani kwa wiki Mbili uyajue mawazo na maoni ya wana Mwanza tena kwa Jambo kubwa kama hiloHapa tunaweza kuwa tukakubaliana kwenye kufikiria vyema. Ila haiondoi ukweli wa kile ambacho yeye kama mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa wa Mwanza anaweza kuwa alikuwa anakijua kuhusu watu wa Mwanza.
Hiyo Genocide unayosema moja ya sababu ilikuwa kufunika kombe mwanaharamu apite, hata pale ilipokuwa inaonekana wazi kuwa mwanaharamu hawezi pita.Kapigwa chini yeye na kamati inaendelea na kazi chini ya RC mpya mwenye uwezo wa kuuchunga mdomo wake.
Hakupaswa muropoka hadharani Ile kamati ni confidential kama kuna taarifa peleka kunakohusika. Albert ni mjinga sana.Kuna swali moja umeshindwa kujiuliza kuwa huyu ni mkuu wa mkoa na ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya Mkoa. Mchukue yeye na kila kitu kuhusu yeye kama upumbavu Ila mbakizie tu hiyo nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa na itafakari kauli yake chini ya nafasi hiyo.
Mkuu kwenye hili hata Mimi naungana nawe kabisa. Hapa jamaa ameonyesha ujuha. Swali linabaki hii kauli tuichukue kama kauli ya juha huyu tu kaamua kujiropokea kutokana na ujuha wake. Au ni ukweli ambao umeropokwa na juha.Hakupaswa muropoka hadharani Ile kamati ni confidential kama kuna taarifa peleka kunakohusika. Albert ni mjinga sana.
KAMWENE 😁😁CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI.
Na Robert Heriel.
Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Je Chalamila alikuwa akiisemea nafsi yake au alikuwa akiwasilisha vinyongo vya watu wanaomzunguka kuhusu Kifo cha Magufuli?
Je Chalamila hakuwepo wakati msiba wa Magufuli na hakusikia Sababu zilizosababisha Umauti umfikie JPM?
Je nini dhamira ya Chalamila kusema kauli hiyo?
Chalamila kusema watu Waende na Mabango yenye jumbe zozote hata za MATUSI, alikuwa anajaribu Kueleza Uhuru wa namna gani?
Chalamila akiwa Mbeya aliwahi kusema hataki Mabango ya Aina yoyote yenye jumbe za hovyo, je nini kimebadilika alipofika Mwanza?
Nilishawahi kusema, Wale wote waliokuwa wakisapuza na kuhamasisha JPM aongezewe muda wa kuongoza wanapaswa waondolewe katika nafasi walizonazo. Na Kama ni wabunge mwaka 2025 wasirudi bungeni.
Bahati nzuri wanafahamika, na wanajifahamu. Hatuwezi kuwa na taifa la viongozi wasioweza kutumia akili zao vizuri.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa MOROGORO
View attachment 1816057
IAlizoea kutamka maneno ya kumfurahisha mwendazake, juzi alizidisha viungo akaharibu mchuzi. Ninaamini Chalamila hakuazimia kusema watu waende na mabango ya matusi.
Huyu Chalamila nadhani kichwani kuna mahali hapapo sawa. Mtu mwenye akili timamu kabisa hawezi kuropoka kiasi hicho.CHALAMILA KAULI ZAKE ZINAZUA MASWALI MENGI.
Na Robert Heriel.
Nani aliyemuambia wananchi wa Mwanza Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Chalamila hajamaliza hata wiki mbili tangu awe Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, sasa je aliwezaje kuzipata taarifa za Wakazi wa Mwanza kwa muda mfupi tuu kuwa watu Wanakinyongo na Kifo cha Magufuli?
Je Chalamila alikuwa akiisemea nafsi yake au alikuwa akiwasilisha vinyongo vya watu wanaomzunguka kuhusu Kifo cha Magufuli?
Je Chalamila hakuwepo wakati msiba wa Magufuli na hakusikia Sababu zilizosababisha Umauti umfikie JPM?
Je nini dhamira ya Chalamila kusema kauli hiyo?
Chalamila kusema watu Waende na Mabango yenye jumbe zozote hata za MATUSI, alikuwa anajaribu Kueleza Uhuru wa namna gani?
Chalamila akiwa Mbeya aliwahi kusema hataki Mabango ya Aina yoyote yenye jumbe za hovyo, je nini kimebadilika alipofika Mwanza?
Nilishawahi kusema, Wale wote waliokuwa wakisapuza na kuhamasisha JPM aongezewe muda wa kuongoza wanapaswa waondolewe katika nafasi walizonazo. Na Kama ni wabunge mwaka 2025 wasirudi bungeni.
Bahati nzuri wanafahamika, na wanajifahamu. Hatuwezi kuwa na taifa la viongozi wasioweza kutumia akili zao vizuri.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa MOROGORO
View attachment 1816057
Ya u RCMmmh! PhD ya nini Mkuu??
Mkuu wa mkoa hapa alikua anachochea ukabilaNa Kwa nini iwe Mwanza sio Mbeya?
Kwa nini kinyongo kiwe Mwanza na sio Geita au mahali pengine Tanzania?
Chalamila bhana
Mkuu wa mkoa yule ndugu Bashite aliwahi taka kuzuia Viongozi wa Upinzani na watu asiowapenda wasikanyage ama waondoke Dar.Imefanyika Sana chini ya tawala dhalimu.
Mahakimu walishindana kuwanyima wapinzani Dhamana Ili kumfurahisha mwendazake Ili afurahi awape teuzi ya ujaji.
Mapolisi walishindana kukamata wapinzani na intelligence zisizoisha mbona siku hizi hizo intellegencia ya viashiria vya vurugu atusikii kwenye mikutano ya wapinzani.Wapo waliopewa teuzi baada ya kutishia kuwaua wapinzani.
Hakika tumepita kwenye bonde la uvuli wa mauti.
Mungu yu mwema Hakuna mwanadamu yeyeto aliyewahi ibeba dunia.
Madaraka ayawafai watu washambaMkuu wa mkoa yule ndugu Bashite aliwahi taka kuzuia Viongozi wa Upinzani na watu asiowapenda wasikanyage ama waondoke Dar.
Hii Dunia hii.
Magufuli aliwahi tanks ikifika mwezi wa Saba mwaka ule Kuna watu wataondoka mjini(Dar).
Hii Dunia hii.
Hata Ntibayonzika na Madelu ndiwo haohao.Kwa ujumla Rais wetu ana kazi kwerikweriHaya mabaki ya Mwendazake lazima tuyang'oe kama magugu shambani na hayawezi kujificha. Yako mengi tu pamoja na ;
Ali Happi, Biswalo Mganga, Lazaro Mambosasa, Wilson Mahera, Dotto James, Palamagamba Kabudi, Bashiru Ally na Humphrey Polepole.
Hao ni sumu kwa Utawala wa Rais SSH